Sielewi mtasema nini 2025 Kwa kipigo cha mbwa Koko!!
Kwa vyombo vya dola, sawaSielewi mtasema nini 2025 Kwa kipigo cha mbwa Koko!
Kama kile cha kuua na kuteka watu wakati wakukabidhi fomu kwa wakurugenzi au kingine?😅😅😅shetani kafa. Mayatima mnabweka tu.Sielewi mtasema nini 2025 Kwa kipigo cha mbwa Koko!
Hata hujui siasa wewe, wapinzani nchini sio chadema, cuf, ACT wala UDP bali ni wananchi wenyewe, kama upinzani ungekuwa ni chadema uchaguzi was 2020 ungekuwa free and fair maana vyama vyote vilizuiwa kufanya siasa kwa miaka 5 kabla ya upinzani.CCM haijafa, haitakufa na itaendelea kuongoza nchi hii kwa sababu wapinzani wote ni wanaharakati na mbumbumbu. Mtakesha mitandaoni lakini upinzani wa nchi hii ni utopolo tu.
Hakuna aliyeiba kura mlipigwa kihalali kama mtakavyopigwa 2025. Huo ndio ukweli mchungu.Hata hujui siasa wewe, wapinzani nchini sio chadema, cuf, ACT wala UDP bali ni wananchi wenyewe, kama upinzani ungekuwa ni chadema uchaguzi was 2020 ungekuwa free and fair maana vyama vyote vilizuiwa kufanya siasa kwa miaka 5 kabla ya upinzani.
Mijadala ya wabunge kwenye bunge LA chama kimoja inaonyesha kuwa CCM haipo bali kuna maslahi ya MTU binafsi, kabila, wilaya, mkoa na kanda ya mbunge. Hata wabunge wenyewe wengi wao ni matunda ya Tume "asante Magufuli" na sio wanaCCM wenyewe.
Awamu ya tano ilimalizia kuiua CCM iliyokuwa tayari imepigwa jembe la mgongoni na Edward Lowassa alipohamia Chadema.
CCM ya kweli haiwezi kuwa na viongozi aina ya Mh. Polepole na Mh. Bashiru kama watendaji wakuu na kuwafungia nje wenye CCM yao. CCM halisi haiwezi kuwadhalilisha watu kama Kinana, Yusufu Makamba, Nape na wengine kutokana na michango yao kwenye siasa za CCM.
Awamu ya Mh. Magufuli R.I.P haikuamini nguvu ya CCM bali jina lake tu. Walihitaji jina la CCM lakini sio nguvu ya CCM kwenye siasa zao.
Kuondoka kwa Rais Magufuli CCM pia inayo kazi ya kufanya ya kuirudisha CCM kwa wenyewe. Ndiyo maana hata mafanikio ya JPM yanakutana na changamoto kutoka ndani na nje ya CCM baada ya yeye kuondoka.
Bahati yao kubwa ni kumpata Rais Samia ambae sio mwanacha wa kundi hili na kundi lile la CCM Bars, vinginevyo tungeshuhudia makubwa kwwnye vikao vyao.
Imekufa anakosekana wa kusema imekufa.

Hata hujui siasa wewe, wapinzani nchini sio chadema, cuf, ACT wala UDP bali ni wananchi wenyewe, kama upinzani ungekuwa ni chadema uchaguzi was 2020 ungekuwa free and fair maana vyama vyote vilizuiwa kufanya siasa kwa miaka 5 kabla ya upinzani.
Mijadala ya wabunge kwenye bunge LA chama kimoja inaonyesha kuwa CCM haipo bali kuna maslahi ya MTU binafsi, kabila, wilaya, mkoa na kanda ya mbunge. Hata wabunge wenyewe wengi wao ni matunda ya Tume "asante Magufuli" na sio wanaCCM wenyewe.
Mkuu ule usemi usemao "CCM INA WENYEWE" unajua maana yake? Mama hujui subiri 2025 Mungu akitiwekaAwamu ya tano ilimalizia kuiua CCM iliyokuwa tayari imepigwa jembe la mgongoni na Edward Lowassa alipohamia Chadema.