Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Jamani, napenda kueleza sifa moja ya ndege aitwaye bundi, ndege huyu pamoja na kuhusishwa na mambo ya kichawi sifa yake ya wazi ni kuzomewa na ndege wenzie pindi arukapo ndio maana nyakati za mchana ni nadra sana kumuona akiruka kwan akifanya hivyo atakumbana na rundo la ndege kama manju( mifano manju wa Kanda ya ziwa: Inaga, Tagara,Midundu japo hao wawili walishafariki n.k).
Kadhia hii ya kuzomewa imewakumba ccm na wafuasi wao, sasa swali langu nini kinaweza kuwanusuru kutoka kwenye hii kadhia? ( This thread is for sober minds).
Kadhia hii ya kuzomewa imewakumba ccm na wafuasi wao, sasa swali langu nini kinaweza kuwanusuru kutoka kwenye hii kadhia? ( This thread is for sober minds).