Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kwa muda mrefu chama chetu kimekuwa na ukaribu na Ccm.
Hata shughuli za kitaifa kama sherehe za uhuru na masuala mengi viongozi wetu wamekuwa wakialikwa.
Leo hii nimeshangaa kusikia kiongozi wa chama chetu ni gaidi na anafadhili ugaidi.
My take; Ccm nao walaumiwe kwa kukumbatia magaidi kwa muda mrefu.