wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Wanaharakati na Wanasiasa tushindane kwa hoja badala ya matusi na uchochezi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewataka wanaharakati na wanasiasa kujenga mijadala ya kisiasa kwa hoja badala ya matusi na uchochezi, akisisitiza kuwa CCM haina uhasama na chama chochote cha siasa. Wasira amesema chama hicho hakikatai kukosolewa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania WIMBO WA KARIBU LEMA CCM

    [INTRO – MC] Aaaah! Oyaa! Oyaa! Habari imefika mjini! Kutoka Arusha mpaka Dar! Nani huyo? Lema! Ameenda wapi? CCM! Heeeee! Twende kazi! [BETI YA KWANZA] Lema eeh! Lema eeh! Umefika wapi? CCM! Lema eeh! Lema eeh! Habari imeenea mjini! [KIITIKIO – CHORUS] Lema kaingia, kaingia, kaingia! CCM...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wale wafuasi wa kile chama cha saisa cha kushangilia vifo vya wanasiasa, watu mashuhuri na waja wa Allah, walio na maoni tofauti na yao?

    Mbona mko kimya sana leo na hamuonekani kushangilia? Au muda wa kushangilia bado? Au pengine bado mungu wenu hajawapandisha mihemko na kuwapa ujasiri na furaha ya kushangilia kifo cha mwanasheria nguli na mdau wa siasa mashuhuri kilichotokea leo nchini? In fact, ni kitu nonsense sana...
  4. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Maslahi binafsi, itikadi na mikakati ya kisiasa: Kipi hasa huchochea wanasiasa kuhama kambi?

    Wasalaam, Katika medani za siasa zetu hapa Tanzania, kuhama kwa wanasiasa kutoka chama kimoja kwenda kingine limekuwa si jambo la kushtua tena. Lakini kinacholetwa maswali mengi ni nyakati zenyewe kete hizo zinaposogezwa. Tukio la hivi karibuni la Alute Mughwai Lissu, kaka yake Tundu Lissu...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wana roho ngumu kuliko majambazi wa zamani

    Mdau mmoja ameeleza jinsi baadhi ya wanasiasa wa sasa wanavyotanguliza maslahi yao binafsi badala ya yale ya wananchi, akiwafananisha na majambazi. Hata hivyo, amesema tofauti ni kwamba baadhi ya wanasiasa wamefikia hatua ya kutumia nguvu hadi kusababisha vifo katika harakati zao za kulinda...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanasiasa vijana "Usiharibu Kwenu"

    "Usiharibu kwenu" ni msemo wa kiswahili uliobeba maana nzito ya kutunza sifa yako, uhusiano wako, na kutunza heshima, sifa na mazingira ya kwenu unakotoka na au unakoishi. Ni msemo unaolenga kutukumbusha kama vijana na jamii nzima kwa ujumla, hususani katika siasa kutoleta fujo, kutokuchochea...
  7. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Hakuna watu Wana akili sana kama wanasiasa, kupitia Elnino ndo nimeamini.

    Issue ya Elnino imeonesha kuwa wanasiasa ni Genius
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Kosa la Afrika ni Kuamini Kwamba Wanasiasa Watabadilika Waone Aibu Kuiba au Kuuwa Raia

    Viongozi wa TZ walianzisha mauaji yakiongozwa na serikali. Nimesikia tena wapinzani wa Rwanda wanaendelea kuuwawa kishenzi tu! Mauji imekuwa ni kawaida ya Afrika. Afrika tuna tunawapigia kelele wanaoshikilia serikali tukiamini wataona aibu. HAPANA! Hawana aibu na hata wakiondoka madarakani bado...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, Wanasiasa wa CCM(Vigogo) wammejiandaaje kuwa wakimbizi wa Kisiasa? Kila mtu atatoa mlio wake

    Hii ishu ya Ukimbizi wa kisasa walijua itakuwa upande wa Lissu na Wapambania haki wa CHADEMA. Hakuna aliyetegemea Polepole atatekwa kama Mdude Nyagali. Hakuna Mwana CCM alitegemea Nchimbi anaweza kupotezwa asijulikane alipo kama Ben Saanane. Mwigulu alipokuwa waziri wa Mambo ya ndani...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CCM inatekeleza ilani ya uchaguzi kulingana na ratiba zake na vipaumbele vya waTz, na sio kwa mihemko ya wanasiasa na wanaharakati waliopoteza uelekeo

    Nimeona ni vizuri sana kwa wadau wa Jf, na wananchi wote kwa ujumla, walau kufahamu jambo hili vizuri na kwa uchache, ili hatimae kau na uelewa wa pamoja kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea kwa maslahi mapana ya taifa letu. CCM ndio iliyopewa dhamana ya na umma kuongoza nchi hii, na kupitia...
  11. B

    JamiiForums Tanzania KATIBA NA UZALENDO: Je, Ni Maslahi ya Taifa au ni Ubinafsi wa Wanasiasa?

    kila nikikaa na kutafakari mwelekeo wa nchi yetu, naanza kuona wazi kuwa mjadala wa Katiba Mpya nchini Tanzania unazidi kupoteza maana halisi ya uzalendo na badala yake unatawaliwa na ubinafsi uliokithiri. Najiuliza, hizi kelele zote tunazozisikia kila siku majukwaani na kwenye vyombo vya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Majaji kukubali kuelekezwa Tanzania na wanasiasa ni sawa na kujichimbia kaburi

    Majaji kukubali kuelekezwa Tanzania na wanasiasa ni sawa na kujichimbia kaburi. Hao wanasiasa wanajisahau mapema sana mkiwakubalia wawape maelekezo kesho kutwa tu watawadharau kiasi kwamba mtakuwa kama wale wasajili wa vyama hawana heshima kwa serikali wala watanzania kama zamani
  13. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan je ndio kiongozi anayependwa kuliko wanasiasa, viongozi na marais wote waliowahi kuwepo Tanzania tangu tupate uhuru?

    Hapa jukwaani naona sifa zake zimejaa na kusheheni, kuanzia asubuhi hadi usiku, kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah , kavulata, Pascal Mayalla , ChoiceVariable na CHAWA wengine wengi kutwa kumsia. Je hizo sifa ni halisi na wanamaanisha au wanafanya kumpamba ili wapate ugali wao wa kila siku...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Sheria ya uhaini haina faida kwa taifa, inawanufaisha wanasiasa zaidi kuliko wananchi

    Sheria ya uhaini ya sasa iko kisiasa zaidi na inawanufaisha wanasiasa pekee, imepitwa na wakati, irekebishwe isaidie kwenye nyanja za kiuchumi kama walivyofanya wenzetu wa China, Korea Kusini, Singapore, Botswana, Mauritius. Mfano leo Lissu akinyongwa taifa litapata faida gani. Sheria isomeke...
  15. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Lema ni moja ya wanasiasa wa hovyo sana nchi hii imepata.

    Kwa hii sentensi yake moja tu,huyu jamaa ni mtu wa hovyo sana,anasema "Makamu Mwenyekiti alirudishiwa passport yake baadq ya kuongea na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa,ila yeye anasema alirudishiwa na Mwanasheria wa Chama,kwa hiyo issue sio Watanzania ila yeye Lema hajapewa passport na mkurugenzi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Wanasiasa walifuta Baraza la Wazee TAA Siasa ikaanza kukosa watu muhimu

    Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, akizungumza kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), amesema historia inaonyesha kuwa viongozi wa dini ndio waliotoa mchango mkubwa na kutafakari juu ya...
  17. Diaspora Messenger

    JamiiForums Tanzania Karma ingekuwa ipo na inafanya kazi ingewapata wanasiasa ila hakuna kitu kinatokea

    Tazama , wanasiasa wanavyofanya manipulation Wanaua , wanatesa but nothing is happen to them Kama umri wanaishi miaka mingi na wanazidi kuwa na maisha mazuri wao na vizazi vyao .
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Consistency ya Tundu Lissu kukosoa serikali za awamu zote inafanya watu wamuamini tofauti na wale Wanasiasa wa msimu

    Hamjambo! Kuna Wanasiasa wa Msimu. Akiingia kiongozi huyu wanakuwa wakali kama viwavi jeshi. Akitoka huyu na kuingia mwingine wanakuwa kimya. Hali hiyo inawafanya waonekane wanasiasa wenye maslahi fulani au ubaguzi hivi. Hata ingekuwa ni mimi ndiye nimeingia madarakani. Yaani wakati wa...
  19. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wanasiasa walioonja makali ya Samia

    Uzi huu ni kwaajili ya kuwakumbuka wanasiasa wote ambao kwa namna fulani wameonja joto la Rais Samia kwa kuwekwa kando ya madaraka. Naanza na Balozi Emmanuel Nchimbi, Spika Job Ndugai. Endelea na orodha…
Back
Top Bottom