wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    Uzinduzi wa nishati safi unaofanywa na wanasiasa unaleta maswali muhimu kuhusu usimamizi na utekelezaji wa miradi hii

    Uzinduzi wa nishati safi unaofanywa na wanasiasa unaleta maswali muhimu kuhusu usimamizi na utekelezaji wa miradi hii. Utangulizi: Hapa kuna ufafanuzi wa maswali yako: 1. Wanasiasa walisomea wapi kazi ya nishati safi? Wanasiasa wengi hawana ujuzi wa kitaaluma katika nishati safi, lakini...
  2. A

    Mbowe na wanasiasa wengine wana mengi ya kujifunza kutoka wa Dosa Azizi

    Nimeona mh Mbowe akitaja fadhila ambazo amemfadhili mh Tundu Lissu tangu walipokutana mwaka 1995 na kuamua kushirikiana naye katika harakati za kisiasa nchini. Wahenga wanasema, "tenda wema uende zako" na sio kusubiri fadhila. Mwl Nyerere aliwahi kupewa nyumba ya kuishi na marehemu Dosa Azizi...
  3. Logikos

    Ni Heri wazungumziao Mipira kila siku (wanajadili wanachokijua) kuliko kufanya uchambuzi wa Mapatishi ya Wanasiasa...

    Kumekuwa na Kasumba ya watu kulalamika watanzania kila kukicha ni Kuongelea Mipira..., Tuwe wakweli sio Tanzania sehemu nyingi duniani hakuna watu kitaa wanaojadili Ideas..., kilichobaki ni kujadili Matukio..., Sasa hayo matukio ni Matukio gani tuyajadili? Blah blah zinazotemwa na wanasiasa...
  4. Prof_Adventure_guide

    Fursa ya kupanda Mlima Kilimanjaro mpaka kileleni Uhuru Peak

    Wana jamvi mnaonaje kama mtakuwa tayari kuchangamkia fursa hii ya kutembelea mlima Kilimanjaro kwa gharama nafuu zaidi ambayo imeandikwa kwenye tangazo letu hapo chini! Changamkini fursa chap chap ili ukajionee kwa macho na kujifunza mengi zaidi kwa mwaka huu 2025 Kwa maelezo zaidi nicheki...
  5. MGOGOHALISI

    Afrika kama bara tulishashindwa kujikomboa. Wanasiasa wanakimbilia mali na madaraka tu

    Ukweli ndio huo. Kama bara Africa ilishajifia. Viongozi wengi wa Africa wameishia kuwa madalali wa mali za Africa kuzipeleka kwa wazungu. Ni nadra kukuta kiongozi wa Africa mzalendo anayewazia nchi yake kufika mbali. Kwenye makaratasi wana hotuba tamu kuliko asali. Kwenye utekelezaji ni...
  6. Mikopo Consultant

    Wanasiasa wa Tanzania wanaongeleaga kuhusu viwanda ila sijawahi wasikia wakiongelea na inteligensia ya kuvilinda viwanda

    Ukiwa Arusha mjini, mitaa ya Unga Limited, sasahivi yamebakia kuwa magodown, ila wazazi wetu wanatuambia miaka ya 70 na 80 kulikuwa na utitiri wa viwanda vingi sana. Na hiyo ni Arusha; ukienda na mikoa mingine kama Dar es salaam, Mwanza, Mbeya, Tanga na Morogoro, utakutana na similar story. Kwa...
  7. CHASHA FARMING

    Wanasiasa wa Kenya na Kilimo wana inspirw sana ukiweka Siasa pembeni.Hawa wetu hadi wastafu ndio tuanze kuwaona shamba

    Kitu kimoja huwa najifunza kutoka kwa Viongozi wa Kenya ni kwamba asilimia 99 wana fuga na wanalima. Raila shamba lake linaitwa Opoda ni moja ya shamba kubwa sna la mifugo hapo Kenya. Kuna wakati Ruto alikuwa ana unda Balaza lake la kwanza la mwaziri sasa wakawa wanafanyiwa Vetting Bungeni kwa...
  8. Mtoa Taarifa

    Wanasiasa, Wananchi wanamtaka Rais Ruto kukemea na kukomesha Matukio ya Utekaji, Mauaji ya Wakosoaji wake

    Wadau mbalimbali wa masuala ya Haki za Binadamu wakiwemo Wanasiasa wametoa wito kwa Rais William Ruto kukemea na kukomesha Vitendo vya Utekaji wa Wananchi wengi wakiwa ni wakosoaji wa Serikali yake. Miongoni mwa waliotoa wito huo ni pamoja na Mahakama, Wanasiasa Raila Odinga, Kalonzo Musyoka...
  9. Manfried

    Wanasiasa watz wana uwezo mdogo sana huwa nashangaa mnapowakuza na kukubali wawe ndo decision makers wenu!

    Nchi zilizoendelea huwa zinakuaga na thinkers wao na wanalipwa kwa ajili ya hiyo Kazi. Ni Tanzania pekee utakuta vilaza waliofeli shule na walisoma masomo ya arts ya kukariri ndo wanafanya maamuzi ya nchi This is bullshit Sifikirii watu Leo wanawaza nani bora Kati ya mmoja aliyepa zero...
  10. M

    Wanasiasa wa Tanganyika ni tamaa ya madaraka na wanakosa subra tofauti na Zanzibar

    Tamaa ya vyeo, mfuragano nakukosa subra ktk vyama vya siasa 1. NCCR 2. TLP 3. CUF bara 4. Hivi sasa chadema Siasa wanaona mchakato wa siku 1 , 2 au 3
  11. B

    Tathmini wa wanasiasa bora 2024

    Mwisho wa mwaka huo unaelekea ukingoni. Leo tutaangalia baadhi ya wanasiasa waliojitahidi kuzingatia miiko ya siasa kwa kutanguliza maslahi ya raia (wananchi) mbele bila kuzingatia maslahi yao binafsi kwanza. Nchi ya Tanzania ina viongozi wengi wa siasa ila ni maskitiko makubwa kwamba wengi wao...
  12. KakaKiiza

    Nitajiie baahi ya Maneno ya wanasiasa yanayokukera!

    Aiseee....Mimi nachukizwa na neno kwa sasa tupo katika mchakato,au hili neno Vijana inabidi mkajiajiri msisubiri ajira serikalini!! Haya ni maneno yanayoumiza moyo wangu kwani ni maneno yasiyokuwa na akiba ya huruma kwa vijana pia kwa wapiga kura!Ongezea na wewe!
  13. S

    Wanasiasa karibia wote ni wachawi. Makonda asibagazwe kwa kauli yake kuwa mama anarogwa sana.

    1. Zitto Zubery Kabwe alitamka bungeni kuwa atawageuza kuwa Nyenyere wale wote watakaothubutu kumfuata tuata. Hansard ipo mkasome. ZittoZubery Kabwe, mpk leo anaogopwa kama ukoma. 2. Propesa (siyo profesa) Maji Marefu (RIP) alitamka bungeni kuwa asilimia kubwa ya wabunge amewashika makalio...
  14. MSAGA SUMU

    Ukimya wa wanasiasa wakongwe Erythrocyte na Salary Slip wazua gumzo.

    Ukimya wa Wanasiasa wakongwe wa Chadema hapa JF ndg Erythrocyte na Salary Slip umezua mashaka makubwa kwa members wengi humu jukwaani. Maoni ya wanasiasa hawa yanaweza kushawishi au hata kwa kiasi fulani kusababisha mshindi katika uchaguzi ujao. Kwa zaidi ya miaka kumi, hamna hata siku moja...
  15. GoldDhahabu

    Nchi inaendeshwa na utumishi wa umma au wanasiasa?

    Mara kadhaa viongozi waandamizi wa CCM wamesikika wakiwashauri Watanzania wasiwachague wapinzani katika nafasi ya Urais kwa madai kuwa vyama vya upinzani bado havijakomaa vya kutosha kuongoza nchi! 1. Hayo madai yana ukweli kwa kiasi gani? 2. Nchi inaendeshwa na wanasiasa au na utumishi wa...
  16. Fortilo

    Pre GE2025 Wanasiasa wenye msimamo mkali wanakaribia Kushinda, Kuongoza CHADEMA kuelekea 2025?

    Harakati ndani ya Chadema zinachangamka siku hadi siku.. CCM wamepuuza siasa za majadiliano na maridhiano ndani ya CDM na nje ya CDM.. Sio ACT wala vyama vidogo kwamba vinapatiwa ahueni... Upande wa Chadema shida inaonekana Freeman Mbowe amekuwa mpole sana kwa dola hadi kufika kipindi...
  17. Prof_Adventure_guide

    Tofauti ya siasa na wanasiasa katika nchi yangu na mataifa mengine

    Jambo wana Jamii Forums, Natarajia mu wote mko poa sana. Leo ningependa kujadili kidogo kuhusu historia ya siasa ya Tanzania. Siasa ya Tanzania imeshuhudia mabadiliko mengi tangu nchi ipate uhuru mwaka 1961. Tumeshuhudia utawala wa chama kimoja (CCM) kwa muda mrefu, na pia mabadiliko ya vyama...
  18. K

    Tuwape PhD za heshima wazalendo kama Salim Bakhresa, sio wanasiasa wala rushwa

    Tanzania ni nchi ya maajabu sana vyuo vimejaa siasa. Mtanzania mzalendo kama Salim Bakhresa sijasikia vyuo vikitaka kumpa PHD ya heshima badala yake inawapa wanasiasa ambao hawana sifa. Salim Bakhresa amejenga biashara na kutoa ajira kwa mazingira magumu sana. Hajawahi na wala hana sifa ya...
  19. Mganguzi

    Ningekuwa Padri au Kasisi wa dini yoyote nisingepokea sadaka za wanasiasa ni kulinajisi kanisa la Mungu

    Haya ni maoni yangu kwamba siasa ni ajira iliyotawaliwa na roho mbaya ushirikina na mauaji!! Kama isingekuwa siasa mawazo asingekufa ,Wala mwandishi wa chanel ten daudi mwangosi asingekufa! Isingekuwa siasa Leo Ben saa nane angekuwa anawasindikiza watoto wake shule asubuhi na kwenda kuwachukua...
  20. Suley2019

    Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa michango yote iliyotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto Jumapili. Katika taarifa yao, Maaskofu walieleza wasiwasi juu ya kutumia majukwaa ya kanisa kwa faida za...
Back
Top Bottom