wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kipara kipya

    Tanzania kuna uhaba mkubwa wa wachambuzi wa hotuba, watu wanategemea wanasiasa

    Ombwe kubwa la wachambuzi na wabobezi wa hotuba linapelekea kila mmoja kutoa tafsiri kwa utashi wake na mrengo wa aliko egemea maana wanao jikita kutaka kuchambua wengi wana mirengo ya kisiasa lazima avutie kwake. Tumesikia hotuba bora ya kufunga mwaka ilivyojadiliwa kutafsiriwa kiupande mmoja...
  2. RIGHT MARKER

    Faida ya kupotea/kuadimika machoni mwa watu

    💼MHADHARA WA 8 Hii ni sheria ya 16 kati ya sheria 48 za Mamlaka katika kitabu cha THE 48 LAWS OF POWER kilichoandikwa na ROBERT GREENE. Anatuonyesha kuwa kadiri utakavyoadimika machoni pa watu ndivyo ambavyo utaongeza thamani yako. Kwa mfano; kama upo kwenye ndoa jaribu kusafiri kwa mwezi 1 au...
  3. Mkalukungone mwamba

    UVCCM Dodoma umewaonya wanasiasa wenye nia ovu ya kukichafua chama hicho

    UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umewaonya wanasiasa wenye nia ovu ya kukichafua chama hicho na viongozi wao na badala yake kuwataka wajikitike kwenye sera za kujenga vyama vyao na taifa kwa ujumla. Kanuni ya UVCCM ndiyo inasema kwamba sisi kama vijana kazi yetu ni kwenda kuwa...
  4. W

    Askofu Mwamakula: Vyuo Vikuu vinazalisha wahitimu wanaokuwa "Machawa" wa wanasiasa

    Akichangia mjadala katika Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, Askofu wa Kanisa la Moravian Revival Church, Emmaus Mwamakula amesema kuwa kuna vyuo vikuu nchini vinashindwa kuandaa viongozi wa baadae badala yake kuzalisha wahitimu wanaojipendekeza kwa wanasiasa na kuona Siasa ni ajira Amesema hayo...
  5. M

    Mazishi ya Kada wa CHADEMA Tanga. Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni ahudhuria

    Tumefika salama. Kumshindikiza mzee wetu ======= Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Masauni, amesema Rais amehuzunishwa sana na tukio hili, na kutoa wito kwa mtu yeyote kuacha kushutumu, badala yake kama mtu ana kielelezo aweze kukiwasilisha. "Wanafamilia wajue Serikali ipo pamoja na nyie...
  6. USSR

    Utekaji wa kisiasa utaisha pindi wanasiasa kuacha kutukanana kushililisha viongozi wa kitaifa

    Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki. Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna Ukija kutukana jua utajificha...
  7. Nehemia Kilave

    Je, kuna haja kwa familia ya Mzee Lowassa kuwashitaki wanasiasa hawa wa CHADEMA?

    Habari JF , sakata la Mwenyekiti Mbowe vs Mchungaji msigwa linaturudisha Nyuma sana. Kipindi Mzee lowassa-RIP anasemwa vibaya kila kona na kuchafuliwa lakini mwisho wa Siku alikuja kuwa mgombea wa chama cha CHADEMA. nadhani kinachofanywa na Mwenyekiti ni kutokomaa kisiasa Je na familia ya...
  8. ngara23

    Wanasiasa kila mkileta shobo na hamasa fake, Taifa stars inapigwa

    Taifa stars siyo team ya wanasiasa ni mali ya Watanzania wote Taifa stars sio team ya kukutafutia Kiki na uchawa wa kijinga, Wanasiasa mnawapa pressure wachezaji wetu Kwa ahadi za mapesa hadi wanashindwa kuwa kwenye uwepo uwanjani Mkome huu upuuzi wenu Taifa stars imeshinda dhidi ya Zambia away...
  9. Hismastersvoice

    Kilevi hiki ni hatari kwa taifa japo kina faida kwa wanasiasa

    Wajanja wa nchi hii wametuletea kilevi hatari kwa taifa letu, kiasi kimekolezwa na kesi za akina Magoma zinazoipotezea muda mahakama zetu. Wakati bodi ya vilevi hairuhusu baa kuuza pombe saa za kazi lakini bodi hii TCRA inaruhusu walevi wake wanshinde kutwa nzima eti wasikilize uchambuzi na...
  10. hitler2006

    Pre GE2025 Watanzania siasa haihitaji ushabiki, siasa inahitaji ufuasi

    Kuna shida sana ya watanzania tulio wengi,tumeathirika sana na ushabiki hasa wa namna ileile ya simba na yanga. Siasa zinahitaji ufuasi,mfuasi ni mtu anayeelewa barabara kile anchokifuata kimaono, kimtazamo, kisera Hizi siasa za kishabiki mtu anaunga mkono chama fulani kwa mihemko au kapewa...
  11. Cute Wife

    Pre GE2025 Uzi Maalum wa Kauli tata na za kushangaza kutoka kwa Viongozi na Wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 mengi yanasemwa na yataendelea kusemwa, na kati ya hayo ni kauli tata na za kushangaza kutoka kwa wanasiasa ambazo kwa namna moja ama nyingine zitakuwa na aathari fulani si tu katika uchaguzi huu wa mwaka...
  12. Hismastersvoice

    Tetesi: Hili la Polisi kupitia hotuba za wanasiasa kabla ya kuwahutubia wananchi ni udikteta au kulinda 4R?

    Hii habari ambayo inawataka wanasiasa wapeleke hotuba zao wazipitie kabla ya kuzitoa kwenye majukwaa, inania ya kukomaza demokrasia au kuifuta demokrasia?
  13. Tlaatlaah

    Kama kuna jambo linahitaji Mipango, Uthubutu, Hekima na Busara kweli kweli basi ni siasa

    Ukiwa na mipango lakini ya hovyo hovyo isiyoeleweka wala kutekelezeka utapuuzwa tu na Wananchi. Utajipigia kelele kelele mwenyewe wee bila kuungwa mkono na yeyote. Ukikosa hekima na busara katika kuwaza, kusema na kutenda, huku ukiendekeza kiburi, chuki na visasa dhidi ya wengine, majivuno...
  14. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Dk. Nchimbi: Wana CCM na Wanasiasa wa Vyama vingine tuchunge ndimi zetu

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amewataka Wanasiasa Nchini kutumia vizuri ndimi zao na kamwe wasitoe matamshi ambayo yanaweza kuhatarisha amani na utulivu. Balozi Dk. Nchimbi ameyasema hayo jana August 13, 2024 alipokua akiongea na Wananchi katika mkutano wa...
  15. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Kutegemea huruma ya Wananchi na kiki kupata umaarufu, kumeanza kuwaumbua Wanasiasa nchini

    Fikra na hali ya Wanasiasa kutegemea madhaifu yao ya kimwili au kiafya kuvutia au kupata huruma ya wananchi, imeanza kuadimika, kutoweka na kupotea kwa kasi sana nchini, huku ikiwaacha wanasiasa husika katika hali ya mshangao, majonzi na simanzi kubwa mno, kwamba hakuna tena hamasa kwa wanachama...
  16. and 300

    Wanasiasa wengi (85%)wanawaza kujinufaisha wao kwanza

    Wanasiasa wengi kipaumbele chao ni wao na familia/marafiki. Hizo zinazoitwa shida za wananchi ni gia tu ya Kula pesa/kodi za wananchi. Ndo maana Hata SGR ipe miezi 6 chali. 1. Posho/pensheni za wanasiasa ni nono, ajabu. 2. Mishahara yao ni ya juu (bila Kodi). 3. Miradi/tenda kubwa kubwa...
  17. M

    Siasa iwe kama mpira wa miguu. Usajili uwe kwa msimu

    Suala la kuhama Mwanasiasa kuhamia chama chengine iwe kwa msimu hasa kipindi Bunge lishavunjwa ili kujenga heshima katika siasa. Mwanasiasa anaetaka kuhamia chama chengine asubiri muda huo. Hali ilivyo hivi sasa Watanzania wanyonge wanampigania Mwanasiasa ashinde uchaguzi hali na mali hadi...
  18. F

    CHADEMA hii ni fursa nyingine ya Chama kuimarika zaidi

    Waingereza walisema what does not kill you, leaves you stronger. Tukio baya ambalo halikusababisia kifo, hukufanya kuwa imara kuliko hapo mwanzo. CHADEMA kimepitia misukosuko mingi lakini chama hiki kimebaki kuwa imara zaidi kuliko siku za nyuma. Kuna kipindi miaka kama 8 hivi iliyopita chama...
  19. Roving Journalist

    Rais Samia: Wanasiasa mnaowapeleka Watu kwenye Hifadhi ili uchaguzi ukikaribia muwatetee, acheni hizo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na Serikali kutunza na kuyalinda maeneo ya hifadhi kwa faida ya kizazi cha sasa na baadaye huku akiwaonya Madiwani na Wabunge wenye tabia ya kuanzisha Vijiji ndani ya maeneo ya hifadhi hasa kipindi cha kuelekea...
  20. Mkalukungone mwamba

    Makalla: Wapo wanasiasa walikuja wakasema maneno ya uchochezi kwamba Serikali ya CCM inanyanyasa wavuvi

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chanzo cha Ziwa Tanganyika kufungwa kwa muda ni kuongeza mazalia ya samaki na si kuwanyanyasa wananchi kama baadhi ya wanasiasa wanavyodai. Makala amesema hayo jana Jumapili Agosti 4, 2024 katika ziara ya...
Back
Top Bottom