Watanzania sijui tuseme kuna kitu hakipo sawa kwenye vichwa vyetu.
Marais wastaafu wawili waliisha andika vitabu kuhusu maisha yao tangu utotoni mpaka madarakani.
Wameonyesha kwenye maandishi jinsi CCM inavyotumia kila aina za mbinu za hila ili ibaki madarakani.
Mkapa ameonyesha jinsi CCM...
Wanabodi, Naweza kusema ni mwisho wa enzi. Lengai Ole Sabaya angeomba msamaha mapema na kukubali makosa angeishi kwa amani, Alitegemea nguvu za mwanadamu kumshika mkono wakati hana mkataba na aliyemleta huyo mtu Duniani
Ni ukweli na unaumia pale unapoomba msamaha wa kweli kwa maovu na mabaya ni...
Ukweli ndio huo.
Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.
Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.
Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.
Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo amefika nyumbani kwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli wilayani Chato mkoani Geita kuangalia kaburi lake na kumjulia hali Mama yake Mzazi Suzana Magufuli.
Waziri Mkuu Majaliwa amefika nyumbani kwa Hayati Dkt. Magufuli...
Huwezi kuwa unaomba Mungu kwa dhati halafu Mungu azibe masikio yake kwako. Tatizo mnaombea wanasiasa na taifa kinafiki kwa maslahi yenu ya duniani.
Mh. Rais JPM aliwapenda sana lakini mlishindwa kumuomba Mungu ampe afya na maisha marefu kwakuwa hamkuwa na dhamira ya kuomba bali maslahi.
Mtu...
Ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule halafu Matokeo yakitoka naambiwa nimeshinda kwa Kishindo ( 100% ) upesi sana nitayakataa na kutaka Uchaguzi urejewe upya.
Ila ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule kisha Matokeo yakatangazwa nimeshinda kwa 65% nitayapokea kwa Furaha...
Kwa wale wahenga akina Pascal Mayalla, Mrangi, Mmawia na mzee Mgaya mtakumbuka baada ya aliyekuwa waziri mkuu hayati Sokoine kufa kwa ajali ya gari Morogoro kuna wanasiasa wawili walisingiziwa kuhusika na kifo chake.
Wakati ule hapakuwepo mitandao ya kijamii lakini uzushi ule ulisambaa nchi...
Wanasiasa, na hata Wanaharakati wengi duniani, wakiwemo wa nchi hii (including the late Magufuli) wanaonekana kupenda sana kuja kukumbukwa baadae hata na vizazi vijavyo, ila hawaelewi wafanye nini waache legacy na hata historia imeshindwa kuwasaidia ni namna gani wanaweza kuacha legacy.
In...
Kujenga umoja wa kitaifa ni kazi ngumu kuliko kujenga mabarabara marefu nchini.
Umoja huu wa kitaifa umejengwa mwa miaka mingi na kwa gharama kubwa kutoka Awamu ya kwanza na zilizofuatiwa.
Kuna ambao shula za kidini zilitaifishwa, hospitali zikafanya za umma, ubaguzi wa kidini, kieneo hata...
Askofu mkuu wa kanisa la Pentekoste Tanzania na mwenyekiti wa baraza la makanisa ya kipentekoste Tanzania, Peter Konki amewasilisha mada ya umoja na mshikamano katika kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya hayati John Magufuli ambalo Rais Samia Suluhu alikuwa Mgeni Rasmi...
Nimemsikia Spika Ndugai akidai kuwa vijana wengi wa kitanzania sio waaminifu, kwamba wakiajiriwa mahala popote lazima wamuibie muajiri wake hivyo asipokuwa makini lazima wamfirisi. Unachosema ni kweli lakini hii mentality ipo kwa kiasi kikubwa hata kwa wanasiasa.
Wanasiasa wengi mpo kwa ajili...
Vita ya mradi wa Rufiji sio ya kwanza Afrika.
HUENDA wengi hawajui visa vya mabwawa ya kufua umeme na historia ya Afrika. Nimeona bora niwaelimishe. Mabwawa haya yana kitu kinaitwa 'geo-politics' toka zamani na yapo mabwawa ambayo yamewahi kuhujumiwa ili yasijengwe.
Miongoni mwa mabwawa hayo...
FEBRUARI 7, mwaka huu, China ilimpoteza daktari bingwa wa macho (ophthalmologist), jina lake ni Li Wenliang. Alikuwa kijana mdogo. Oktoba 12, mwaka huu, angetimiza umri wa miaka 34.
Wenliang alikuwa anahudumu kwenye Hospitali Kuu ya Jiji la Wuhan. Desemba mwaka jana, alikuwa mtu wa kwanza...
Marehemu mzee Morris Nyunyusa
Nina jambo moja ambalo huwa linanitatiza kidogo. Majina ya viongozi wa kisiasa ndiyo yametanda kila kona ya nchi yetu. Kuanzia majengo, mitaa, barabara, taasisi za elimu na nyinginezo. Hili sina shida nalo na wala sina dhamira ya kulifanya kuwa shida akilini mwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.