wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Usipotoshwe na watu wasioelewa maana na utaratibu wa kuwa na raia pacha. Angalia hapa maelezo ya uraia pacha na niulize swali lolote nitakujibu

    Nimekuwa nikisoma maoni na hoja za watu kuhusu Tanzania kuruhusu uraia pacha, na nimeshangaa sana na kugundua watu wengi sana wanaotoa maoni kuhusu uraia pacha hawaelewi kabisa inakuwaje mtu anakuwa na uraia pacha. Na hili nimeona hata toka kwa wanasiasa wanaopinga uraia pacha, na kuona kwamba...
  2. M

    Computer na smartphone za wanasiasa wa upinzani zina nini?

    Niliwahi kuandika na leo narudia ili angalau tutafakari kwa makini na ikiwezekana tuwasaidie Polisi na pia wanasiasa wa upinzani.Kila anayekamatwa jambo la kwanza ni kuchukuliwa compuetr na simu yake. Zina nini hizi?
  3. Kamanda Asiyechoka

    CCM imekuwa ikiliea wanasiasa magaidi! Hii ni aibu

    Kwa muda mrefu chama chetu kimekuwa na ukaribu na Ccm. Hata shughuli za kitaifa kama sherehe za uhuru na masuala mengi viongozi wetu wamekuwa wakialikwa. Leo hii nimeshangaa kusikia kiongozi wa chama chetu ni gaidi na anafadhili ugaidi. My take; Ccm nao walaumiwe kwa kukumbatia magaidi kwa...
  4. Countrywide

    Wanasiasa wanaofanya ugaidi wapo, Serikali ichukue hatua kali zaidi

    Zamani kidogo ilikuwa ni kama tetesi na utani tu kuwa yule bwana anawamaliza wote wanaompinga kwenye chama chake. Hili halikupaswa kupuuzwa na nilikuwa mmoja wa watu niliokuwa nazishangaa mamlaka kwa nini hawachukui hatua? Kwa nini hawamchunguzi? Ukifatilia matukio yaliyowahi kutokea unaweza...
  5. L

    #COVID19 Ubinafsi wa baadhi ya wanasiasa unahatarisha mafanikio yanayopatikana kwenye mapambano dhidi ya COVID-19

    Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Boris Johnson na serikali yake, wameonyesha msimamo wa ajabu ambao pia unaweza kuonekana kuwa ni ubinafsi, baada ya kuweka kipaumbele zaidi kwenye uhuru wa watu na hali ya uchumi, na sio maisha na usalama wa afya ya wananchi. Mwanzoni Bw. Boris Johnson alishutumiwa...
  6. K

    Nchi yenye wanasiasa Magaidi si sehemu salama kwa uwekezaji

    Nchi nyingi zenye viashiria vya Ugaidi zimekuwa zikiyumba kiuchumi. Lakini pia raia wake upata shida Sana wawapo nje ya mataia yao kwa usumbufu wa upekuzi na ufauatilia unaomiza. Kutangaza nchi kwamba ina viongozi Magaidi Ni kosa kubwa kiuchumi na kisiasa pia. Kwa Mataifa ambayo yanaelewa...
  7. Jidu La Mabambasi

    Msingi wa hii dhana kuwa wanasiasa wasilipe kodi, wasishitakiwe inatoka wapi?

    Huwaga nashindwa kuelewa. Mtu kwa kujitoa kuwahudumia wananchi, wengine wanaenda mbali kusema wanawahudumia wanyonge, halafu anaacha kulipa kodi kwa miamala anayolipwa. Mbaya zaidi akikosea kisheria hata akiua, asishitakiwe. Miye napataga kigugumizi kuwatetea hawa watu.
  8. M

    SoC01 Ifike hatua wanasiasa wetu wabadilike

    Katika jambo linalotafakarisha sana ni kitendo cha wananchi kuburuzwa na wanasiasa kwa namna wanayotaka. Wanasiasa huwaona wananchi kama watu wasiojitambua wala kujielewa hivyo wanaamini wanaweza kuwaambia chochote na kuwafanyia chochote na wakakubali. Ni jambo la kawaida sana kwa mwanasiasa...
  9. MamaSamia2025

    Watanzania tuamke na tuache kuwakabidhi haki zetu wanasiasa

    Bado Tanzania ni nchi salama sana kuishi. Kwanini? Watu wake ni wapole na waliomtanguliza Mungu. Hata kwenye haki zetu huwa "Tunamwachia Mungu" na kuendelea na maisha kama kawaida tena kwa furaha. Tumeongezewa kodi ya ovyo inayoitwa kodi ya uzalendo/mshikamano lakini tuko fresh tu na kuanza...
  10. K

    Katiba iundwe na wataalamu sio wanasiasa

    Hakuna katiba ambayo itafanikiwa kama hatutabadilisha mfumo. Katiba iundwe draft yake iandaliwe na wataalamu pekee wenye uzoefu kwa manufaa ya nchi kama walivyofanya Kenya. Tukiweka wanasiasa hatutaweza kamwe kupata katiba nzuri maana wataweka manufaa ya Chama mbele ya manufaa ya nchi...
  11. Chizi Maarifa

    Tanzania yetu kwa sasa imekuwa na UCHWARA mwingi kuliko uhalisia

    Ndio tanzania yetu kwa sasa imekuwa na UCHWARA mwingi kuliko uhalisia. Yaani unakuta mtu anayejiita mwanasiasa naye ni uchwara hamna kitu anachokifahamu vizuri au anachosimamia isipokuwa mihemko na ubinafsi. Chama nacho ni uchwara, hakina msimamo unaoeleweka au misingi ya chama kinaendana na...
  12. J

    Dr. Diallo: Katiba inatengenezwa na Wananchi siyo Wanasiasa, 2014 tuliikosa katiba mpya kwa ubinafsi wa wanasiasa CCM ikiwemo!

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr. Anthony Diallo amesema ni makosa makubwa na hatari sana kuwaachia wanasiasa watengeneze katiba ya nchi. Diallo amesema wanasiasa ni wabinafsi hivyo lazima wajipendelee ndio maana katiba ni lazima itengenezwe na wananchi wakisaidiwa na Wataalamu kama...
  13. TheDreamer Thebeliever

    Wanasiasa wasijikoshe kwa kumjengea sanamu Hayati Magufuli, badala yake wamuenzi kwa kuwa wazalendo na wachapakazi

    Habari wadau! Binafsi naomba niwe tofauti kuhusu suala la Magufuli kujengewa sanamu pale sabasaba. Magufuli sasa hayupo hivyo hakuna wa kumsemea leo nimejaribu kuvaa viatu vyake ,naamini kama angekuwa hai hasingeafiki swala hili ingewataka wale waliotenga pesa za sanamu wazielekeze kwenye...
  14. chakii

    Wanasiasa na ubinafsi wa Katiba mpya

    Habari wanaBodi.. Tumekuwa tuna wanasiasa wanafki na wabinafsi pia sana. Watanzania tuna changamoto nyingi za maisha ya kila siku mbali na suala la KATIBA, Yes Katiba ni muhimu lakini Katiba siyo kila kitu, tunaweza kuwa na Katiba mpya lakini isibadilishe maisha ya raia. Ubinafsi wa Wanasiasa...
  15. Suley2019

    Rais Samia: Siyo vibaya viongozi wa dini kuwa wanasiasa

    Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 Mjini Morogoro wakati akifungua mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) aliposema wakati mwingine dini na siasa vinaenda sambamba. Amesema licha ya kuwa unaweza kutumikia dini na kuwa mwanasiasa, lakini vibaya unapotumia...
  16. P

    Papa ameumwa dunia imetangaza, kwanini viongozi wa Afrika wakiumwa inakuwa siri?

    BBC wametangaza kuwa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis anaumwa na amefanyiwa upasuaji, sijasikia taharuki. Hapa nchini viongozi wetu huwa ni siri hasa awamu ya 5. Kisa kuepusha taharuki. Akifa hutangazwa, nini maana yake?
  17. Analogia Malenga

    Zitto: Wanasiasa Tanzania wanapata ugumu wa kufanya siasa bila uadui

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema siasa zilizo bora ni siasa za Ushawishi. Hata hivyo amesema wanasiasa wa Taznzania wanapata ugumu wa namna ya kufanya siasa bila kuhasimiana na kugawa watu. Mwenye mawazo tofauti sio adui. Anawaza tofauti na wewe tu.
  18. May Day

    Huu wimbo wa "katiba mpya" ni manufaa ya Wanasiasa na Wanaharakati zaidi kuliko Wananchi

    Siku za hivi karibuni kumezuka Wanasiasa na Wanaharakati wanaohanikiza kupatikana kwa katiba mpya, huku wakijaribu kuiaminisha jamii ya Watanzania kwamba kupatikana kwake ndio itakuwa mwisho wa Matatizo ya nchi hii. Kwa muda wote ninajaribu kuwasikiliza mmoja baada ya Mwingine na bado sioni ni...
  19. MEXICANA

    Wanasiasa msitufanye wajinga kuhusu mikutano ya kisiasa

    Specifically naongea na wanaodai kwamba hakuna uhuru wa kufanya mikutano ya kisiasa. Rais kasema hajazuia mikutano yenu ya wanachama wenu ndani ya chama. Wabunge wafanye kwenye maeneo yao pia. Marekani wametoka kwenye uchaguzi juzi kati, je? Bado wanaendelea na mikutano ya siasa? Tunataka...
  20. William Mshumbusi

    CHADEMA mnatuchanganya. Tunataka Katiba inayosimamia haki na sio Katiba Mpya. Kamwe Katiba hiyo haiwezi kutengenezwa na Wanasiasa

    Kitu wapinzani wanachofeli ni kuongozwa na hasira na ushindani na kupigania maslahi binafsi ya kisiasa hivyo kukosa logic na plan nzuri kufanikisha mipango yao. Jakaya Kikwete alianzisha mchakato wa Katiba mpya Ila mchakato mzima katika mazingira hayo ulitawaliwa na wanasiasa. Bunge lilijaa...
Back
Top Bottom