Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya.
Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020.
Mdude...
Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.
Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika pamoja na uwezo wa kudadavua mambo mengi.
Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba...
Majiji na Miji mingi kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita imekuwa ikijenga masoko mazuri ya ghorofa kama masuper market yenye thamani kubwa. Machinga/Mjasiria Mali ana tabia za maisha ya bata. Tania hizi zimefanya vizimba kukosa wateja.
Je, tunatatua tatizo kujenga masoko ya maghorofa au...
Takwimu mpya kutoka Mamlaka husika imesema kuwa kwa hivi sasa 77% ya ' Population ' ya Tanzania ni Vijana.
Mnaotaka Kugombea Urais au Kuendelea nao baada ya 2025 Kazi Kwenu sasa katika Kulishawishi, Kulidanganya, Kulirubuni na hata Kulitumia vizuri hili Kundi ili 2025 Ikulu iwe Nyumbani Kwako...
Taifa letu limetokea kuwa la ajabu sana tumekuwa na wanasisa wa ajabu ambao hawana mikakati ya kuwasaida wananchi.
Wananchi nao wamekuwa watu wa ajabu wanadanganywa kama watoto wadogo ambao wakipewa zawadi ya peremende basi wao husahau shida zote.
Sijaona mwanasiasa ambae yupo serious na hali...
Leo tena jamii ya Watanzania wameshusha pumzi kwa mara nyingine baada ya kusikia Mashehe wa uamsho kuachiliwa huru.
Kuna maoni mengi sana kwa watu. Mengi ya maoni hayo pamoja na kupongeza kitendo hicho wameenda mbali kwamba serikali iwalipe fidia. Hili limekuwa kubwa zaidi.
Wanasiasa na...
Tangu awamu ya 4, 5 na sasa awamu ya 6 hali imekuwa kutoa mifano ya Biblia na Koran, Bungeni na majukwaani. Wanasiasa wanaotoa hotuba zinazostahili kuwa msikitini na kanisani.
Leo hii mkuu wa mkoa wa Mwanza anamwita rais Samia ni mtumishi aliyeletwa na Mungu. Sijui anatutisha au anajisemea...
Viongozi wa dini kemeeni, wanasiasa kemeaneni. Msiba miaka yote haujawahi kuwa na itikadi wa chama ni wetu sote.
Mmezalisha tabia ya kuvunja mashirikiano kwa sababu ya awamu na Matakwa ya kiongoz aliyetangulia. Aliwajengea woga na kuwafanya kuishi kwa kubaguana. Si afya kuendelea hivyo, msiba...
Kwako Prof JANABI.
Heshima yako na hongera sana kwakuitendea haki taaluma yako vyema.
Tarehe 12/6/2021 umewasilisha international report kwa Mh Rais.
Ulijipanga vizuri mno.
Ulitulia sana, Body language inamvuta msikilizaji tangu ulivyopresent kabla ya uzinduzi na hatimaye hotuba yako nje...
Waziri wa fedha amesoma bajeti na tunaendelea kuichambua kipengele kimoja baada ya kingine. kwa ufupi ni kwamba wanasiasa wameshindwa kutatua changamoto zetu.
Wakati taifa likiwa katika mtanzuko mkubwa wa ajira na kuhimiza vijana wetu waegemee zaidi kilimo hasa cha umwagiliaji, Serikali...
Watu hatari zaidi tusio wajua ni "wanasiasa"
Wana urafiki wa kinafiki. Hawa ni watu hatari zaidi duniani!
Huleta vita duniani. Hutengeneza chuki, uhasama kwa jamii na jamii.
Huwatenganisha watu na jamii. Huchafua watu waonekane wabaya.
Bora mchawi kuliko mwanasiasa. Mchawi hawezi kukologa...
1> Philip Mangula
Huyu kama ni umeme tungeita 'under ground cable' yaani unaona taa tu zinawaka lakini nyaya huzioni.
2> Abdulhman Kinana
Huyu yupo makini sana na ndio huyu alizunguka nchi nzima kuisafisha CCM
3> Freeman Mbowe
Huyu ndiye ameifanya CHADEMA itambulike kitaifa na kimataifa
4>...
Wamachinga katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na nchini kwa ujumla wamekuwa wakidemka demka kwa kuamini hawawezi kuguswa kwasababu wao ndio ngome kuu ya ushindi wa chama tawala yaani CCM.
Ndio nauliza, hivi Wamachinga bado ni mtaji wa wanasiasa?
katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri Afrika na Duniani imejidhihirisha kuleta Amani na utulivu ndani ya nchi yetu mfano mzuri ni mwaka huu ambapo Taifa liliingia kwenye majaribu makubwa lkn kwa mjibu wa katiba yetu nzuri na bora tumevuka salama
Tumevuka nyakati ngumu sana...
Je, Polisi wanawaelimishaje Raia namna ya kutoa taarifa za kiuharifu haraka?
Jukumu la kwanza kabisa la polisi ni kulinda Raia na Mali zao. Na hiki ndicho kiapo wanachopewa.
Ujambazi, uporaji na ukabaji unapotukia hauhitaji kabisa kauli ya mwanasiasa yoyote ili polisi watekeleze wajibu wao...
Sekta binafsi ndiyo mwarobaini wa ajira nchini. Nchi za ulaya pamoja na kuwa na teknolojia pamoja na wataalamu lukuki lakini hazijafikia kiwango cha kuwa na madaktari wanaozurura mtaani, walimu wanaozurura mtaani pamoja na wauguzi wanaozurura mtaani eti kwa kisingizio cha ajira ni tatizo la...
Ukifatilia tawala kubwa zilizopitA kale, za Sasa na matAifa yaliyoendelea kiuchumi Kuna mchango mkubwa Sana wa wageni kutoka nje.
Ukiangalia asili ya Trump na Obama wote walitoka nje ya marekani. Ukizungumzia nguvu ya kivita Basi zungumzia nguvu za waisraeli waishio Marekani na Russia ndio...
Kuna watu wanajiona ni bora zaidi ya wengine wote bila kujua kuwa elimu yetu ndiyo tunu pekee ya kuongoza taifa letu.
Wanasiasa mnapojifanya hamuoni tatizo la ajira kwa vijana wetu mjiandae kuondolewa ofsini. Kama mnahisi kuwa mpo bora zaidi mnajidanganya.
Kununua magari yenu pesa zipo...
Asubuhi....
"Jamani Watanzania wenzangu nafuatiliwa na Watu wa CCM na Gari zao wakiwa na Panga, Sime na Mundu huku Kura za Uwizi zikiwa zimepakiwa mniombee nisife kwani nami nina Familia na Bata nalipenda vile vile na hiki Cbama sitaki nimuachie kabisa Mtu mwingine "
Usiku....
"Nampongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.