Kwa siku za karibuni kumekuwa na tabia kwa wanasiasa kuanza kuingilia uhuru na haki yetu ya kuchagua maisha ya kuishi na ambayo hayavunji sheria za taasisi yoyote.
Kutokana na matukio ya kimihemko ya baadhi ya vyama kutopata ushirikiano kwa raia ambao walidhani maisha yao...
Moja kati ya silaha kubwa sana ya wanasiasa kuwabakiza madaraka pale mambo yao yanapoenda kombo basi huwa ni jeshi la polisi.
Polisi ukiondoa yale mavazi yao na wao ni wananchi wa kawaida tu, hali ya maisha ni sawa tu na sisi raia wa kawaida.
Ugumu wa maisha tuliyonayo wananchi na wao pia...
Kuna baadhi ya matajiri duniani mfano George Soros na Bill Gates huwa wanatuhumiwa sana kuwa puppet masters wakiwaendesha wanasiasa kama vikaragosi vyao na kuwafanya watimize zinazodaiwa kuwa na ajenda zao ovu kama depopulation, mass control, ushoga n.k
Sasa inakuaje Elon Musk tajiri namba...
Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa? Tunafurahia mafanikio haya huku tukiangalia ajira za wanyonge zikiteketezwa kwa sababu shughuli ndogondogo...
Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa? Tunafurahia mafanikio haya huku tukiangalia ajira za wanyonge zikiteketezwa kwa sababu shughuli ndogondogo...
Hivi yule kiongozi wa BAWACHA Aliedai alitekwa, akateswa na kudhalilishwa huko kwenye misitu kibiti anaendeleaje kwasasa makamanda?
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi apone haraka.
Nimewiwa kumjulia hali tu kwakweli, my friends, ladies and gentlemen 🐒
Mungu ibariki Tanzania.
Wakuu,
Jana nilikuwa naangalia takwimu za Watanzania ambao wana matatizo ya moyo kitaalamu Cardiovascular Disease (CVD)
Kulingana na report kutoka kwenye tovuti ya Geospatial Health, 13% ya watanzania wana matatizo ya moyo yaani kitaalamu CVD.
Hii ikanipa kihali hasa katika kipindi hiki...
Huu ni msimu wa siasa za uchaguzi. Ni katika msimu kama huu kunakuwa na maamuzi mengi ya jazba na mihemko kukomoana na visasi.
Hali hiyo hupelekea baadhi ya watu kuhama vyama na kujaribu kkukimbilia mahali ambako atapata jukwaa na wakati mwingine akilikosa Hilo jukwaa huanza kuleta nongwa...
Kama tunavyofahamu mwaka huu 2024 na 2025 Nchi yetu ya Tanzania itakuwa katika Uchaguzi ambapo mwaka 2024 utafanyika uchaguzi wa serikali za mitaa november 27. Mwaka 2025 uchaguzi mkuu.
Sasa kuna jambo ambalo lazima tuliseme na viongozi wafahamu na hata wale ambao wataonyesha nia ya kugombea...
Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila
lawama yoyote ile
Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Leo ilikuwa mechi ya watani wa jadi SIMBA na Yanga. Maarufu kama Deby ya Kariakoo.
Michezo pia ni siasa.. Lakini pale inapokuwa ni siasa safi bila agenda za siri nyuma yake.. Kinyume chake ni uchuro wenye nuksi mbaya na laana!
Mimi ni mwana SIMBA original kabisa.. Na Nilikuwa na imani kubwa...
Wakati nipo shule ya msingi miaka iliyopita nilichaguliwa kushiriki paredi na kuimbisha nyimbo kwenye paredi hiyo, nakumbuka mpaka leo nyimbo zile, nyingi zilikuwa za kumpigia chapuo Rais fulani kwani ilikuwa karibu na uchaguzi japo nimekuja kutambua shughuli ile vizuri baad ya kukua, kw wakati...
Jana nilipita sehemi kulikuwa na kampeni nafikiri Kwa sababu ya chaguzi za Serikali za mitaa.
Nikasikia mzungumzaji akisema eti Mh Samia ameshindwa kazi Kwa sababu vifo vya kinamama wanayojifungua viongezeka ..nilitamani kumpiga ngumi aisee.
Sasa vifo hivyo Rais anahusikaje Kwa mfano? Maana...
Na THABIT MADAI, ZANZIBAR.
‘ZANZIBAR ni njema atakaye na aje’, Msemo huu ni maarufu sana visiwani haapa, na kwamba umetokana na ukarimu wa watu wake tangu asili na asili.
Bila ya shaka hakuna asiejua kuwa watu wa Zanzibar walikuwa wakiishi kwa msingi ya kiimani inayopelekea kuishi kwa...
Historia ya maisha yako ya zamani tangu kuzaliwa, malezi na makuzi yako kiroho, kimwili, kielimu, kisiasa kijamii na hata kiuchumi ni Huruma ya Mungu tu.
Na hata hapo ulipofikia hivi sasa ni Upendo wa Mungu tu
Na unapoelekea ni pekee Msaada wa Mungu ndiyo wa kukufanikisha. Jifunze kua na...
Kumwaga damu imeanza kuwa tabia miongoni mwa viongozi wa Tz. Kuua watu kisiasa sio swala geni katika histiria ya dunia, ila huko nyuma sababu hazkusababishwa na kuhitilafiana kiitikadi, ilikuwa hasa uasi wa serikali, yaani wale walituhumiwa kukusudia kuua viongozi. Hali hiyo ya sasa ya kuwaua...
Amani iwe nanyi wana wa MUNGU
Juzi kanisa katoliki liliitisha kongamano la ekarist takatifu pale uwanja wa uhuru
Katika watu ambao walikuwepo eneo hilo siku hiyo ni wanasiasa mashuhuri tundulisu, mnyika na Emmanuel chimbi katibu mkuu wa chama cha ccm
Wanasiasa hao waliitwa madhabahuni...
Kuna msemo wa Waswahili wanakwambia bora Ukosee njia lakini usikosee Kuoa ila binafsi naona hakuna kosa kubwa katika hii dunia kama kukosea katika kuchagua kiongozi bora ambaye atakuja kutatua changamoto katika Jamii.
Katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu na uchaguzi wa serikali za mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.