Kuna taarifa kuwa stesheni za SGR zitapewa majina ya marais wetu. Huu ni muendelezo wa karibu kila kitu cha maana kupewa jina la aliyekuwa Rais (hivi karibuni ni Rais aliyekuwa madarakani).
Tuna shule zinazoitwa Mkapa, Vitengo vya Hospitali vinavyoitwa Kikwete, stesheni za basi za Magufuli...
Tupo kwenye mwaka mmoja na nusu ambapo kamati za miradi na ujenzi za makanisa na misikiti zinapanga mipango mingi ya kukusanya fedha kwa wanasiasa
Ni kipindi ambacho taasisi za dini uacha kuangalia uchafu wa fedha na kupima vyanzo vya fedha husika. Ni kipindi cha wanasiasa kupokea mialiko...
Naamini kuna Watanzania wengi mliofika China inasemakana kipindi cha miaka ya 1960 tulikuwa sawa kimaendeleo.
Hatua waliyofikia hawa watu hususani katika nyaja ya miundo mbinu, viwanda na usalama katika nchi yao hivi kuna Mtanzania yoyote anaota kuna siku tutawafikia hata asilimia 3 tu hawa...
Baada ya kuona matamanio ya baadhi ya watanzania juu ya kuwa na kizazi cha Gen Z kama cha Kenya, nimejikuta najiuliza ni kwa nini tuwatamani vijana wa kenya wakati na sisi tuna vijana wetu wasomi kama wao!?
Lakini pia huwa humu kunakuwa na mijadala ya jinsi vijana wa China walivyoiendeleza nchi...
Wanabodi,
Usingizi ukikata, huwa nashuka jf anytime, leo nauliza Mke au Mume ukiachika, au ukaachwa, kisha ukapata bwana mpya, au chombo kipya, je ni sawa kumzungumzia bwana wako wa zamani kila uchao mbele ya bwana mpya au bibi mpya?.
Je hiki kinachofanywa na wanasiasa hamahama, kila saa...
Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya...
1. Zito Kabwe
Huyu mwanzilishi wa ACT Wazalendo alikuwa haamini kabisa kama Tanzania inaweza kuwa na ndege zake mpya kabisa kutoka kiwandani! Alitukana na kukejeli kwamba Tanzania haina uwezo huo na hata ikijitutumua sana itaambulia panga boi zilizotumika wakati wa vita ya kwanza ya dunia. Zito...
nimeona Clip moja ya Mchungaji Mmoja akimpaka mafuta na kumuombea mali na kumuonyesha matatizo ya Mheshimiwa waziri mstaafu wa Mambo ya Ndani Mr X. katika clip hio Mchungaji anamuliza maswali haya
mchungaji - Anna unamjua
Mheshimiwa mstaafu- Namjua ni Mke wangu
Mchungaji - Ania unajuma...
Bahati haiji mara mbili.
Wananchi wako busy kujadili usajili wa Simba na Yanga please huu muda muutumie ipasavyo kukusanya fedha za uchaguzi ili muhakikishe mnaendelea kula mema ya nchi.
Nipo hapa Kawe Mungu wa Mwamposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam.
Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto.
Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja?
Ukiwa...
Utaratibu wa kununua wanasiasa Mama Abduli ameukuta.
Lakini ifike mahali Watanganyika tujifunze toka kwa Wazanzibari.
Wenzetu hawana hiyo michezo michafu ya kudhalilishana kama huku Tanganyika.
Kulikoni Watanganyika?
Ukiachana na kuhama kwa miaka ya 90's na mwanzoni mwa 2000 kwa sasa
1.CCM hupokea wanasiasa wazalendo,wachapakazi na wasio na historia kutoka CHADEMA kama kina Kafulila ,Nasari na sasa Msigwa tofauti na waliowahi hamia CDM kutoka CCM wenye kashfa mbali mbali .
2.CCM huchukua na kupokea watu...
Nimeona niliseme hili sababu nadhani wanasiasa wa sasa wanatumia hii mbinu; Wanakuja na Vitu vya ajabu ambavyo wanajua watu watakataa au kupiga kelele alafu wanaviondoa vile vitu kuonyesha kwamba wanajali kumbe chini ya kapeti wanapitisha vile vya ajabu vingine ambavyo vilikuwa na afadhali...
Miaka ya nyuma kidogo Mkoani Tabora kuna Mwanasiasa aliyekuwa akigombea Ubunge aliwahi kufunga TV kubwa Pale soko maarufu kwa jina la Soko kuu.
Aliifunga wakati wa kuelekea kampeni za uchaguzi akalipia na king'amuzi watu wakawa wanatazama mechi bure ikiwemo na kulipia kahawa na kashata watu...
https://youtu.be/GxN6WSDDIF8?si=6EyFTUpKptlgFoEm
Huko ni Burkina Faso.
Kutokana na fedha alizoziokoa, Capt. Ibrahima amenunua matrekta 5,000 na kuyagawa kwenye vijiji vya Burkina Faso. Ameweka lengo la kutonunua chakula kutoka nje katika miaka mitano ijayo, pia kutengeneza asilimia 60% ya nguo...
Kwema Wakuu!
Weekend hii nilikuwa na mzee mmoja mserikali àliyestaafu mambo ya uongozi. Katika mazungumzo yetu tukajikuta katika mjadala mkali kuhusu maliasili na rasilimali za wananchi.
Nikamwambia madini, maziwa, Gesi wanyama na maliasili zingine mali za wananchi wa taifa hili. Mzee yule...
Tanzania ni miongoni kati ya nchi zilizobahatika kuwa na wasanii wengi sana wazuri, ambao ni wasanii wakubwa na mashuhuri ndani na nje ya nchi. Lakini pia kwa asilimia kubwa ya wasanii wetu hao, wengi wamekuwa ni wasanii wenye ushawishi mkubwa sana kwenye vitu mbali mbali vingi sana ikiwemo...
Imekuwa inanishangaza sana ni sio vibaya kusemana kimaendeleo.
Wenzetu wa kanda ya kati hasa mikoa ya Dodoma na Singida wanapenda sana sana uongozi hivyo usishangae kuwaona kwenye uwaziri hata usipika. Ukiangalia wakina Ndugai, Malecella, Mwigulu na hata Prof Mkumbo na madharau yao utafikiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.