Nawashauri hasa wanasiasa na waislamu, tusishinde kwenye maofisi ya vyama tu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni muda wa kusoma Quran mwezi huu wa Ramadhani.
Tujifunze walikuwepo wengi lakini hivi sasa imekua history. Maisha baada ya kufa ndio maisha kuliko haya ya duniani.
Pia...
Joseph Selasini, Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi amesema kwamba ukiingia kwenye siasa hasa zile za upinzani jiandae kutoa zaidi kuliko kupokea, na wanasiasa wengi wamekuwa maskini kwa sababu ya kutoa.
Mtu ana mtaji wa shilingi milioni tatu lakini anaitwa mmachinga Kwa kuwa anapanga bidhaa zake barabarani na Halipi Kodi!
Mwingine ana mtaji kama huo huo lakini kwa kuwa anauza bidhaa zake kwenye fremu, anaitwa mfanyabiashara na Anatozwa Kodi.
Hivi kigezo cha kuitwa mmachinga ni jinsi mtu...
Kwa sasa kumekuwa na tabia ya Wanasiasa kujitokeza majimboni kuweka ukaribu na Wananchi kwa kutoa zawadi na kujaribu kutatua kero zao? Walikuwepo wapi miaka hii yote?
Kwa upande wako unachukuliaje vitendo hivi?
Soma: Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro
Batanzania.
Ni baeleze.
Lucas mwashambwa ameandika kwa mu post.
Ameandika:
Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano
Mm nabaletea picha kwa muhtasari.
Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na waliotangulia mbele ya haki. Nimewaweka kulingana na ubora wao. Namba moja ina maana ndo bora...
Yaani hadi Shirika la Posta limewagomea halitaki hii Taasisi iwatafutie wafanyakazi ujue siasa zimetawala.
Toka aondoeke Daudi Xevier yaani hii Taasisi imekuwa ya kisiasa kabisa. Nimefuatilia kwa kina ajira wanapewa hata wale ambao hawakushiriki kabisa kwenye usaili - sababu ni eti ni mtoto wa...
Lowassa kaondoka. kaenda zake akitupa mda wa kuangalia alimopita
Ameonewa sana na kaonea na kila mtu
Tulimfitini ili tupate tulichotaka wakati tulipokitaka
lakini yeye alibaki yule yule wa kutafuta alichokusudia kupata mwisho wa siku sidhani kama alipata alichokusudia kupata
Waziri wa habari, mawasiliano na teknolojia ya habari Mhe. Nape Nnauye, amevitaka vyombo vya Habari nchini kutoa nafasi sawa kwa wanasiasa wote bila ya ubaguzi.
“Vyombo vyote vya habari wapeni uwanja sawa wanasiasa watimize majukumu yao. Mtu akisemwa, wa upande wa pili apewe nafasi ya...
Mwenyekiti wa bodaboda wilaya ya Ubungo Dar es Salaam, amesema kwamba baadhi ya vijana wake wa bodaboda walifuatwa na kuahidiwa kupewa mafuta na posho ili washiriki kwenye maandamano lakini kwa mujibu wake yeye alikataa kushiriki.
ANGALIA VIDEO HAPA
Source - EastAfricaTv
Dr, Feleshi jana umenifurahisha sana sana sana sana sana. Yaani umeeleza ukweli kabisa mbele ya Mh. Rais kuwa Makonda anachofanya sio utawala wa kisheria. Kuna clip Makonda anatrend ile mbaya yaani ana-cross-examine Mwanasheria mbela ya wanaCCM wenzake (sio wananchi wale bali wanaCCM wenzake)...
Usemi kwamba "adui yako mwombese njaa" una mantiki kubwa sana. Hakuna mbabe wa njaa.
Nani alitarajia kuwa Halima Mdee angepingana na Mwenyekiti wa Chama kilichomlea kisiasa hadi kuwa maarufu kwenye medani za siasa za Tanzania? Alikuwa ni mmoja wa wanachama ambao CHADEMA ilikuwa ikimjivunia kuwa...
Ni kawaida kwamba katika nchi nyingi matajiri wakubwa utakuta ni wafanya biashara, lakini sio Tanzania. Kwa sasa wanaoongoza kwa kuwa matajiri wakubwa Tanzania ni wanasiasa waliopo madarakani au waliokuwa madarakani huko nyuma. Halafu wanafuatiwa na viongozi wa serikali, pamoja na ndugu zao...
Ni wakati mwongine tunashuhudia kauli za yule RC anayependa kumwaga damu akilielekeza Jeshi kufanya usafi jiji la Dar ambapo kwa mujibu wa kanuni na sheria Jeshi haliwezi kupokea amri kutoka kwa wanasiasa zaidi ya Bunge na Amiri Jeshi Mkuu.
Mkuu huyo wa mkoa ambaye hajaridhika na matokeo ya...
Hili suala la jeshi kuamriwa kufanya usafi kila vyama vya upinzani vinapotangaza maandamano halikubaliki.
Wote tunalia hali ngumu ya maisha ikiwemo wanajeshi pamoja na familia zao na viongozi wa serikali wako kimya, halafu wanapotakiwa kufanya kitu walau hata kwa shinikizo la maandamano...
Hii tabia ya Wanasiasa kutumia jeshi kwa mambo ya kisiasa inakera.
Majeshi yaletu yako kwa ajili ya kuhudumia Taifa na rai wake.
Kuna sababu Gani kutumia wapiganaji wa vita katika mambo ya siasa za ndani?
Jeshi la polisi kwanini lisitumike kulinda usalama wa raia na Mali zao kama ilivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.