Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mdau mmoja ameeleza jinsi baadhi ya wanasiasa wa sasa wanavyotanguliza maslahi yao binafsi badala ya yale ya wananchi, akiwafananisha na majambazi. Hata hivyo, amesema tofauti ni kwamba baadhi ya wanasiasa wamefikia hatua ya kutumia nguvu hadi kusababisha vifo katika harakati zao za kulinda maslahi yao.
"Bora majambazi wa zamani kuliko wanasiasa wa sasa hivi. Majambazi wa zamani walikuwa wanaogopanga sana kuua."
"Jambo ambalo naliona sasa hivi wanasiasa wana roho ngumu kuliko majambazi wa zamani. Yaani mwanasiasa yuko tayari aondoe uhai wa mwananchi ili apate jambo fulani."
"Walikuwa wanasemanga hivyo. Msije mkaua mtu. Ehe kama ikibidi sana piga risasi juu au mpige risasi ya mguu... lakini usije ukampiga mtu kwenye eneo ambalo atakufa."
Nyokaa amekuja kuwa maarufu sana kwa sababu nyokaa alikuwa hakubali maelekezo. Nyokaa alikuwa anapewa maelekezo alafu akiingia fronti anafanya kinyume na maelekezo aliyopewa."