Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Kwa hii sentensi yake moja tu,huyu jamaa ni mtu wa hovyo sana,anasema "Makamu Mwenyekiti alirudishiwa passport yake baadq ya kuongea na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa,ila yeye anasema alirudishiwa na Mwanasheria wa Chama,kwa hiyo issue sio Watanzania ila yeye Lema hajapewa passport na mkurugenzi wa Usalama wa Taifa,anataka na yeye atambuliwe kwenye meza ya kalamu,swali langu ni je huyu mtu wa namna hii yupo kwa ajili yake na familia yake au kwa ajili ya Watanzania na maliasili zao?