Majaji kukubali kuelekezwa Tanzania na wanasiasa ni sawa na kujichimbia kaburi

Majaji kukubali kuelekezwa Tanzania na wanasiasa ni sawa na kujichimbia kaburi

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Majaji kukubali kuelekezwa Tanzania na wanasiasa ni sawa na kujichimbia kaburi. Hao wanasiasa wanajisahau mapema sana mkiwakubalia wawape maelekezo kesho kutwa tu watawadharau kiasi kwamba mtakuwa kama wale wasajili wa vyama hawana heshima kwa serikali wala watanzania kama zamani
 
Habari mbaya ni kwamba; Majaji wameshaelekezwa la kufanya. Tusitegemee TL kupata hukumu ya haki hiyo tarehe 6/11. Tusitegemee kabisa.

My take; Hatuna budi kujiandaa kuonyesha na hukumu mbaya; lakini pia kufanya jambo ambalo ni la wajibu. Na jambo hilo ni kuonyesha kutoridhishwa na maamuzi ya maelekezo vyovyote iwavyo. Lazima kifanyike kitu.
 
Majaji kukubali kuelekezwa Tanzania na wanasiasa ni sawa na kujichimbia kaburi. Hao wanasiasa wanajisahau mapema sana mkiwakubalia wawape maelekezo kesho kutwa tu watawadharau kiasi kwamba mtakuwa kama wale wasajili wa vyama hawana heshima kwa serikali wala watanzania kama zamani
Karayemaha, Ndunguru na Kiwonde, msikubali ushetani wa kuletewa hukumu. Kwani akiwapa U Justice of Appeal ndiyo amewaepusha kifo? Laana ya Mungu itakuwa juu yenu.
 
Back
Top Bottom