Hakuna watu Wana akili sana kama wanasiasa, kupitia Elnino ndo nimeamini.

Hakuna watu Wana akili sana kama wanasiasa, kupitia Elnino ndo nimeamini.

U genius kwenye nini, kipi kipya kimekufanya uone hivyo
 
Hakuna Genius Wale Ni [ Majizi Tu Full Stop ]
Huwezi Kuhadaa Taifa Halafu Inakuja Kuonekana Scam Tupu
cash Imepigwa Tena Ndefu

Nchi Yenye Vyombo Imara Zingefunguliwa Kesi Tele Ama Kila Kiongozi Aliyetamka Neno El Nino Kwa Kuleta Hofu, Taharuki
Angekuwa Mbombo Chap
 
Kwenye Nchi ya watu wasiojali wala kuumizwa na yanayoendelea
 
Wakuu acheni kejeli, kwa jua kali na joto lililopo hivi sasa tuombe afya na salama, hiyo mvua ikishuka itakuwa ni cats and dogs.
 
Elninyo inakujaa ..

ilaa c kwa kelele za wana ccm ..

Inakuja kivyakee vyakee
 
Hakuna Genius Wale Ni [ Majizi Tu Full Stop ]
Huwezi Kuhadaa Taifa Halafu Inakuja Kuonekana Scam Tupu
cash Imepigwa Tena Ndefu

Nchi Yenye Vyombo Imara Zingefunguliwa Kesi Tele Ama Kila Kiongozi Aliyetamka Neno El Nino Kwa Kuleta Hofu, Taharuki
Angekuwa Mbombo Chap
Majizi
 
nafikiri wakati mwingine haya maneno "genius" huwa mnayatumia vibaya, kwani kama wangekuwa ni ma-genius kama unavyodai tanzagiza sii ingekuwa developed? udanganyifu na dhuluma siyo u-genius ...
 
Imagine ratiba mbalimbali kama za shule zimebadilishwa alafu leo hii chombo kilichopewa mamlaka kinakuja kukana kauli yake. Aisee sis watanzania ni mafala sana including viongozi wote.. saizi ilitakiwa zichapwe tu.

Wizi:
1. eti kile kidaraja cha ipogolo pale imetumika million 600

2. Wakaenda mbebesha dhambi mama maria kuzindua daraja la ajabu et lina thamani ya 1billion +
 
"Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua".

Mithali 29:2
 
Goli liko wazi,watu wanajipigia kwamba kadri watakavyo!
 
Sisi hatuna shida na mafisadi, tuko bize zaidi na dudu baya katika kupinga mavi.

Wezi hata wakiiba haina shida, ila mikundu noo!

Bora tuibiwe mpaka nchi ibaki mashimo, lakini watu kuliwa vinyeo haiwezekani tutaandamana hadi ubelgiji.

Mafisadi tutaishi nao hivyo hivyo, hawana shida.
 
Back
Top Bottom