Hawezi shinda hata ukiwapanga na mbuziSitegemei kama wana ubavu huo. Yale yalifanyika tu kwani walikuwa wamesha jipanga hivyo lakini kwenye uchaguzi hata wa mwenyekiti wa kitongoji hawata kubali
Wao wamefanya kinyume chake tena kamera zikimulika makaratasi ya kura.demokrasia ni kura ya siri, siyo wazi kama ilivyofanyika!
yeah..... sad!Wao wamefanya kinyume chake tena kamera zikimulika makaratasi ya kura.
uwazi si kwenye kupiga kura.... ndiyo maana kwenye uchaguzi mkuu mtu hutengewa chamber yake peke yake ya faragha!Si mkuu alisema wanafanya mambo kwa uwazi bila kificho, na akatoa wito kwa vyama vingine vifanye hivyo?
kuhesabu kura mia sio sawa kuhesabu kura milioni. Wacha wahesabu kikawaida wamalize haraka watoe jibu tu.
Zile za kikaoni kwao hazikuzidi 200 kama sikosei....si tunazungumzia hizi za juzi apa kumchagua rais wa Zanzibar?Ni kweli si kazi rahisi, lakini kama kwa dakika chache waliweza kuhesabu na kutoa matokeo ya kura zaidi ya 1000, sitegemei kuwa itakuwa vigumu kuhesabu kura za kila kituo kwani wapiga kura hawatazidi 1000 kwa kila kituo. Wahesabu kura kwa uwazi kwa kila kituo na kuyatangaza papo kwa papo, then hayo ya jumla wakayajumlishe huko.
CCM walifanya wazi hata kupiga kura... hakuna cha kujifunza hapo!Kupiga kura iwe siri, lakini kuhesabu wahesabu kwa uwazi kama walivyofanya ccm.