Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Utakufa na kiherehere chako khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeKudadeki.
Magu hatokubali.
Wakifanya hivi magu hatoboi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakufa na kiherehere chako khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeKudadeki.
Magu hatokubali.
Wakifanya hivi magu hatoboi
Sio rahisi tusidanganyaneOctober tena waonyeshe hivyo hivyo
Kwani ni lini kura hazikuhesabiwa kituoni? Tume yetu ni huru Sana, ndio maana kura huwa zinahesabiwa na kubandikwa vituoni mara tu baada yakumaliza zoezi lakupiga kura Tena kwauwazi kwaushiriki wa vyama vyote na waangalizi wengine.TUME YA UCHAGUZI IFANYE HIVYO KWENYE CHAGUZI ZA URAIS, WABUGE NA MADIWANI. Ili kuepuka usumbufu na malalamiko ya kuibwa kwa kura.
Ingekuwa vizuri kuwepo na sheria kuwa kura zote zihesabiwe kwa uwazi kwenye vituo vya kupigia kura na matokeo ya kila kituo yatangazwe pale pale kwenye kituo husika.
Kama kweli serikali ya CCM pamoja na CCM yenyewe wakikubali hili, basi watu watazidi kuiamini serikali pamoja na CCM yenyewe. Vinginevyo itakuwa CCM wametupiga change la macho tu.
Wanafanya maigizo na NEC yaoSio rahisi tusidanganyane
Nigeria walihesabu kuea hadharani, zikahkikiwa hadgarani. Wapiga kura ni wengi, zaudi ya mara 6 ya Watanzania. Na bafo majibu yalitoka haraka.kuhesabu kura mia sio sawa kuhesabu kura milioni. Wacha wahesabu kikawaida wamalize haraka watoe jibu tu.
Bonge ka point!TUME YA UCHAGUZI IFANYE HIVYO KWENYE CHAGUZI ZA URAIS, WABUGE NA MADIWANI. Ili kuepuka usumbufu na malalamiko ya kuibwa kwa kura.
Ingekuwa vizuri kuwepo na sheria kuwa kura zote zihesabiwe kwa uwazi kwenye vituo vya kupigia kura na matokeo ya kila kituo yatangazwe pale pale kwenye kituo husika.
Kama kweli serikali ya CCM pamoja na CCM yenyewe wakikubali hili, basi watu watazidi kuiamini serikali pamoja na CCM yenyewe. Vinginevyo itakuwa CCM wametupiga change la macho tu
Kura ya siri! Kwani kura haikupigwa kwa siri?demokrasia ni kura ya siri, siyo wazi kama ilivyofanyika!
Kujecharize matokeo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!Zile za kikaoni kwao hazikuzidi 200 kama sikosei....si tunazungumzia hizi za juzi apa kumchagua rais wa Zanzibar?
Hapo kituoni si kunakuwa na mawakala kutoka kila chama wakihesabu kura? wakimaliza wanatia saini halafu zinapelekwa makao makuu ama utaratibu kwenu ukoje? Mana huku kisiwani uliopita ulikuwa umewekwa wazi, ila baada ya kuona kuwa ngoma imewaelemea na mambo kuwa wazi wakaamua kujecharize matokeo.
karatasi hazikukunjwa.Kura ya siri! Kwani kura haikupigwa kwa siri?
Kura ilipigwa kwa siri, ila namna ya kuhesabu ndiyo inayoongelewa hapa ili kuondoa utata na majungu yasiyokuwa na ulazima wowote.
uwazi si kwenye kupiga kura.... ndiyo maana kwenye uchaguzi mkuu mtu hutengewa chamber yake peke yake ya faragha!
karatasi hazikukunjwa.
kila aliyepiga NDIYO/SIYO kamera zilikuwa zinamdeku tu kwa ajili ya figisu baadaye!
Thubutu! Umeona taratibu za maadili zilizotungwa na msajiri wa vyama? Zinasisitiza usiri wa hali ya juu.TUME YA UCHAGUZI IFANYE HIVYO KWENYE CHAGUZI ZA URAIS, WABUGE NA MADIWANI. Ili kuepuka usumbufu na malalamiko ya kuibwa kwa kura.
Ingekuwa vizuri kuwepo na sheria kuwa kura zote zihesabiwe kwa uwazi kwenye vituo vya kupigia kura na matokeo ya kila kituo yatangazwe pale pale kwenye kituo husika.
Kama kweli serikali ya CCM pamoja na CCM yenyewe wakikubali hili, basi watu watazidi kuiamini serikali pamoja na CCM yenyewe. Vinginevyo itakuwa CCM wametupiga change la macho tu
Tena uwazi wa aina hiyo ni wa kuigwa , maana upigaji kura kila mtu anakuona , kutumbukiza kura sandukuni bila kukunjwa na sanduku unaloweka kura linajulikana wapigaji kura wake woteTUME YA UCHAGUZI IFANYE HIVYO KWENYE CHAGUZI ZA URAIS, WABUGE NA MADIWANI. Ili kuepuka usumbufu na malalamiko ya kuibwa kwa kura.