CCM imeparaganyika, hofu imetanda ndani yao

Embu fafanua with vivid examples, chama kimesambaratikaje?
 
Mkuu una jicho la kipekee hasa ulivyotumia reverse 😜 Kwa kweli CHADEMA hawana pa kushika
 
Na kimalizikie kuzimu haraka
 
Duh. Kwanini Kuna Nini ndani ya Chama chetu pendwa??? Mbona sielewi

Duh. Kwanini Kuna Nini ndani ya Chama chetu pendwa??? Mbona sielewi
Wewe unaona kuna kitu?
Niongezee na wezi wa box lakura
 
Chama kiilikuwa na misingi yake sasa imetikiswa na kungolewa mbele ya macho yao.Ndo maana hakuna mwenye nguvu wa kukemea na ukidhubutu unanyoshewa kidole kwamba uko mlengo wa upinzani.
 
Mayumbu wanarukaruka kama bisi kwenye microwave.Yaani wanadandia kila kilicho mbele yao huku wakiongozwa na matusi na kejeli.Wanafikiri matusi na kejeli zitawapa matokeo.
 
Mimi siamini kwa kweli ya Professor Asha Rose Migiro ameshindwa KUSIMAMIA Chama??? Ana uzoefu wa KUSIMAMIA UN ashindwe Chama???

Hizi porojo bhana
Chama hata uwe akili gani utakutana na vikwazo vya hakina kibajaj, msukuma na wengine wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…