Blender JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 6,895 Reaction score 11,025 Dec 12, 2025 #61 kinondoniilala said: Mimi siamini kwa kweli ya Professor Asha Rose Migiro ameshindwa KUSIMAMIA Chama??? Ana uzoefu wa KUSIMAMIA UN ashindwe Chama??? Hizi porojo bhana Click to expand... Asha kawekwa hapo na Mzee kwa KAZI maalumu, chama kina wenyewe hicho
kinondoniilala said: Mimi siamini kwa kweli ya Professor Asha Rose Migiro ameshindwa KUSIMAMIA Chama??? Ana uzoefu wa KUSIMAMIA UN ashindwe Chama??? Hizi porojo bhana Click to expand... Asha kawekwa hapo na Mzee kwa KAZI maalumu, chama kina wenyewe hicho
Blender JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 6,895 Reaction score 11,025 Dec 12, 2025 #62 Inside10 said: Hofu imetanda nipo Lumumba hapa watu hawanywi majinya dispenser Click to expand... Nasikia Kuna muda hata viti hawakai wanaishia kisima TU 😂 Yan
Inside10 said: Hofu imetanda nipo Lumumba hapa watu hawanywi majinya dispenser Click to expand... Nasikia Kuna muda hata viti hawakai wanaishia kisima TU 😂 Yan