Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
Ukimsikiliza kwa utuo kada huyu mwaminifu kwa CCM utauona ukweli kuwa chama hicho ambacho kwa sasa tunasema "kinaongozwa" na Mhe.Samia Suluhu kimepigwa kopi na sio kile chenye misingi ya awali na uongozi haupo tena kwenye "nakala halisi" bali uko chini ya copy na hatujui hiyo copy nani wanaongoza.
Hebu tuone hata yaliyotokea mkutano mkuu wa CCM wa majuzi na kumpitisha mgombea urais! Jee mgombea wao wa sasa na mwenza wake amepatikanaje?
Hajawahi kuchujwa miongoni mwa wana CCM wenzake kama kanuni zao zisemavyo, jee nani anasukuma agenda kutoka huko CCM COPY?
Na jee Polepole ile SHULE YAKE YA UONGOZI ndio iliyo sababisha yeye kwenda kutupwa
CUBA
Ili awe mbali na ukweli asiuseme seme?
Ni aibu wazee wanaoijua CCM kama mzee Wassira, Malecela nk kutumika kuibomoa CCM original na kuipa uwezo COPY bila kujitambua au kwa kutambua na kuamua kulinda tumbo.
Msikilizeni Polepole hapa;