Hakuna cha uCCM au uCHADEMA. Ni swala la mustakabali wa nchi yetu.Achana na CCM. Jikite kwenye CHADEMA yako.
Polepole ni mwana CCM halisi,hahongeki.Wengine wote ni captured.CCM captured,Serikali captured,Jeshi captured,mahakama captured,Jeshi la Polisi captured, sasa wananchi sijui tutaponea wapi,very sad indeed.Ukimsikiliza kwa utuo kada huyu mwaminifu kwa CCM utauona ukweli kuwa chama hicho ambacho kwa sasa tunasema "kinaongozwa" na Mhe.Samia Suluhu kimepigwa kopi na sio kile chenye misingi ya awali na uongozi haupo tena kwenye "nakala halisi" bali uko chini ya copy na hatujui hiyo copy nani wanaongoza.
Hebu tuone hata yaliyotokea mkutano mkuu wa CCM wa majuzi na kumpitisha mgombea urais! Jee mgombea wao wa sasa na mwenza wake amepatikanaje?
Hajawahi kuchujwa miongoni mwa wana CCM wenzake kama kanuni zao zisemavyo, jee nani anasukuma agenda kutoka huko CCM COPY?
Na jee Polepole ile SHULE YAKE YA UONGOZI ndio iliyo sababisha yeye kwenda kutupwa
CUBA
Ili awe mbali na ukweli asiuseme seme?
Ni aibu wazee wanaoijua CCM kama mzee Wassira, Malecela nk kutumika kuibomoa CCM original na kuipa uwezo COPY bila kujitambua au kwa kutambua na kuamua kulinda tumbo.
Msikilizeni Polepole hapa;
View attachment 3320255
Enzi za kina J nature za kugonga Copy Caset kwa mhindiππAchana na CCM. Jikite kwenye CHADEMA yako.
ππππAchana na CCM. Jikite kwenye CHADEMA yako.
Mzee Chakaza habari ya asubuhi hivi hapo kwenu hilo boriti mmekwisha litoa jichoni mpaka uweze kuona ya CCM...tuliambiwa na bwana lissu CHADEMA imejaa pesa za Abduli na mama yake je wahusika wamechukuliwa hatua tuliambiwa wanufaika wakuu ni viongozi wa kanda haswa Sugu aliyepelekea mpaka Msigwa kuhama chama je hao wahusika wa rushwa ni adhabu gani wamechukuliwa vipi mpasuko uliosababishwa na uchaguzi mpaka ukazaa G55 mmeutatua je kesi ya mweyekiti mmeimaliza..kabla ya kushughulika na ya jirani hebu maliza yako....Haidan khenan anataka uchaguzi...Ukimsikiliza kwa utuo kada huyu mwaminifu kwa CCM utauona ukweli kuwa chama hicho ambacho kwa sasa tunasema "kinaongozwa" na Mhe.Samia Suluhu kimepigwa kopi na sio kile chenye misingi ya awali na uongozi haupo tena kwenye "nakala halisi" bali uko chini ya copy na hatujui hiyo copy nani wanaongoza.
Hebu tuone hata yaliyotokea mkutano mkuu wa CCM wa majuzi na kumpitisha mgombea urais! Jee mgombea wao wa sasa na mwenza wake amepatikanaje?
Hajawahi kuchujwa miongoni mwa wana CCM wenzake kama kanuni zao zisemavyo, jee nani anasukuma agenda kutoka huko CCM COPY?
Na jee Polepole ile SHULE YAKE YA UONGOZI ndio iliyo sababisha yeye kwenda kutupwa
CUBA
Ili awe mbali na ukweli asiuseme seme?
Ni aibu wazee wanaoijua CCM kama mzee Wassira, Malecela nk kutumika kuibomoa CCM original na kuipa uwezo COPY bila kujitambua au kwa kutambua na kuamua kulinda tumbo.
Msikilizeni Polepole hapa;
View attachment 3320255
Ni katika kusambaratisha sukuma gang. Lile kundi lilikua hatari kwa afya ya taifa.Ukimsikiliza kwa utuo kada huyu mwaminifu kwa CCM utauona ukweli kuwa chama hicho ambacho kwa sasa tunasema "kinaongozwa" na Mhe.Samia Suluhu kimepigwa kopi na sio kile chenye misingi ya awali na uongozi haupo tena kwenye "nakala halisi" bali uko chini ya copy na hatujui hiyo copy nani wanaongoza.
Hebu tuone hata yaliyotokea mkutano mkuu wa CCM wa majuzi na kumpitisha mgombea urais! Jee mgombea wao wa sasa na mwenza wake amepatikanaje?
Hajawahi kuchujwa miongoni mwa wana CCM wenzake kama kanuni zao zisemavyo, jee nani anasukuma agenda kutoka huko CCM COPY?
Na jee Polepole ile SHULE YAKE YA UONGOZI ndio iliyo sababisha yeye kwenda kutupwa
CUBA
Ili awe mbali na ukweli asiuseme seme?
Ni aibu wazee wanaoijua CCM kama mzee Wassira, Malecela nk kutumika kuibomoa CCM original na kuipa uwezo COPY bila kujitambua au kwa kutambua na kuamua kulinda tumbo.
Msikilizeni Polepole hapa;
View attachment 3320255
Alikua anajiita mbunge wa taifwa πππππππππShule ya uongozi
NaamAlikua anajiita mbunge wa taifwa πππππππππ
Ya Chadema sio ya nchi bali ni ya ndani ya chama maana hakitawali nchi.Mzee Chakaza habari ya asubuhi hivi hapo kwenu hilo boriti mmekwisha litoa jichoni mpaka uweze kuona ya CCM...tuliambiwa na bwana lissu CHADEMA imejaa pesa za Abduli na mama yake je wahusika wamechukuliwa hatua tuliambiwa wanufaika wakuu ni viongozi wa kanda haswa Sugu aliyepelekea mpaka Msigwa kuhama chama je hao wahusika wa rushwa ni adhabu gani wamechukuliwa vipi mpasuko uliosababishwa na uchaguzi mpaka ukazaa G55 mmeutatua je kesi ya mweyekiti mmeimaliza..kabla ya kushughulika na ya jirani hebu maliza yako....Haidan
Nina uhakika Polepole angekuwepo angetia neno kwenye ule uhuni. Ingawa na yeye tangu alipo lambishwa asali kipindi kile, ni kama alipoteza mwelekeo wa kile alichokiamiani wakati wa kukusanya maoni ya Katiba ya Wananchi.