CCM imeshazidiwa na dola bila katiba mpya hata CCM itabaki jina tu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Utekelezaji huu umeanza wakati wa Magufuli. Watendaji wachache wa usalama wa taifa, Polisi na Jeshi walianza kusikilizwa na viongozi na kuambiwa kwamba huko mbele watakuja kushidwa na vyama pinzani na njia pekee ni kutumia dolla.

Bila kujua madhara yake Magufuli alijali zaidi madaraka yake kuliko mfumo na aliona kwa njia hiyo kwa mawazo yake ndiyo njia ya kuleta maendeleo kwa haraka. Hakujua na kufikiria vizuri madhara ya kubadilisha mfumo na kutokufuata katiba na haki zake.

Hakujua kama mfumo imara unaishi kwa muda mrefu kuliko mtu binafsi. Hakujua kama akiondoka kwenye mfumo mbaya atatuachia janga.

Kwa sasa hata CCM ni kama mapambo tu ni taasisi ambayo kila siku inasahau kwamba ni chama cha siasa na badala yake imekuwa genge la wataka madara. Bunge la sasa ambalo linaendeshwa na watakalo usalama, Polisi na jeshi halina meno. Raisi wa sasa anaenda kwa kutishiwa tishiwa na usalama na Polisi kila siku.

CCM ya sasa haina watanzania nyuma ya chama kama zamani. Hawajui kupiga kampeni, hawajui kutoa ujumbe badala yake wamebaki kuongela upinzani tu. Kwa ufupi CCM haina ubunifu tena kwasababu kwanza inaendeshwa na watu wachache sana na pili ni kwasababu usalama , polisi na jeshi ndiyo wanasema nini kifanyike.

Kwa tulipofikia katiba mpya itanufaisha hata CCM maana kwasasa wamufaika ni watu wachache tu. kuna watu wengi sana wenye ujuzi wamepigwa chini kwa matakwa ya wachache na wamekaa nje wanasubiri huruma binafsi! bila kujua nchi tayari ipo kwa Polisi na usalama.

CCM ya asilimia 80% haipo na haitarudi tena ukiacha haya mazingaubwe ya tume fake, usalama, polisi na jeshi. Ni bora CCM ya 50% lakini kuwe na mfumo imara ambao ni katiba mpya nzuri. Kama unapenda CCM na nchi hii inabidi ufanye jitihada kuiokoa nchi chini ya usalama fake wa taifa, polisi na jeshi la mafisadi
 
Chama cha majambazi kilishajifia kitambo mno.. Kilichobaki ni mafisadi na wapiga dili
 
CCM kimetekwa na TISS na Polisi baada kuwategemea sana kuwasaidia dhidi ya nguvu ya chadema. Matokeo yake hivyo vyombo vikaona kumbe inawezekana kuwaendesha wanasiasa kwa kutumia agenda ya usalama, kwa sasa vinadhibiti kila kitu cha ccm. CCM wao wamebaki rubber stamp ya kupitisha mambo yanayoamliwa na hivyo vyombo. Wanaccm wamebaki kusubiri vyeo tu, kila kitu kiko mikononi mwa TISS na Polisi. Nguvu ya siasa imebaki chadema na vyama vingine vya siasa.
 
Utekelezaji huu umeanza wakati wa Magufuli. Watendaji wachache wa usalama wa taifa, Polisi na Jeshi walianza kusikilizwa na viongozi na kuambiwa kwamba huko mbele watakuja kushidwa na vyama pinzani na njia pekee ni kutumia dolla.

Bila kujua madhara yake Magufuli alijali zaidi madaraka yake kuliko mfumo na aliona kwa njia hiyo kwa mawazo yake ndiyo njia ya kuleta maendeleo kwa haraka. Hakujua na kufikiria vizuri madhara ya kubadilisha mfumo na kutokufuata katiba na haki zake.

Hakujua kama mfumo imara unaishi kwa muda mrefu kuliko mtu binafsi. Hakujua kama akiondoka kwenye mfumo mbaya atatuachia janga.

Kwa sasa hata CCM ni kama mapambo tu ni taasisi ambayo kila siku inasahau kwamba ni chama cha siasa na badala yake imekuwa genge la wataka madara. Bunge la sasa ambalo linaendeshwa na watakalo usalama, Polisi na jeshi halina meno. Raisi wa sasa anaenda kwa kutishiwa tishiwa na usalama na Polisi kila siku.

CCM ya sasa haina watanzania nyuma ya chama kama zamani. Hawajui kupiga kampeni, hawajui kutoa ujumbe badala yake wamebaki kuongela upinzani tu. Kwa ufupi CCM haina ubunifu tena kwasababu kwanza inaendeshwa na watu wachache sana na pili ni kwasababu usalama , polisi na jeshi ndiyo wanasema nini kifanyike.

Kwa tulipofikia katiba mpya itanufaisha hata CCM maana kwasasa wamufaika ni watu wachache tu. kuna watu wengi sana wenye ujuzi wamepigwa chini kwa matakwa ya wachache na wamekaa nje wanasubiri huruma binafsi! bila kujua nchi tayari ipo kwa Polisi na usalama.

CCM ya asilimia 80% haipo na haitarudi tena ukiacha haya mazingaubwe ya tume fake, usalama, polisi na jeshi. Ni bora CCM ya 50% lakini kuwe na mfumo imara ambao ni katiba mpya nzuri. Kama unapenda CCM na nchi hii inabidi ufanye jitihada kuiokoa nchi chini ya usalama fake wa taifa, polisi na jeshi la mafisadi
CCM ni idara ya uenezi ya serikali!
 
nonsense
 
View: https://youtu.be/z52sggSmmt4?is=bLgaKC-9ez0ICTXS
 
Back
Top Bottom