Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
CCM imeshindikana,namaanisha imepokea Kila ushauri kutoka Kwa watu wa aina zote hapa duniani,lkn wameshindwa kuukubli.
Wameshindwa kuukubali kwa sababu Kila ushauri kwao utekelezaji wake ni moto kwao.
CCM imefika mwisho namaanisha kwamba utawala wa CCM umeisha,Wanachofanya Sasa hivi ni watatokaje madarakani wakiwa salama?.
Wanajua fika kua wamefika mwisho ila Sasa hivi wako kwenye hatua ya "fighting for survival",wanapambana kufa na kupona watoke salama,maana hata kubaki wanajua ni ngumu.
Nitaendelea kufafanua.
Kwa janga la MO 29 CCM wanajua kua haki haiko upande wao,
Wamepewa ushauri kutoka ndani na nje ya nchi juu ya kufanya,mfano uwanibikaji wa walioua. Lakini wamshike nani wamuache nani maana wakubwa wote wanahusika.
CCM wamepata ushauri juu ya kufanya kushuggulikia janga hilo kutoka Kwa:
-wazee wa CCM na wasio wa CCM juu ya hatua za kuchukua,
- Viongozi wa dini,
-wanasheria,
-viongozi wa vyama vya upinzani na vyama vya kiraia,
-na watu wengine wenye uelewa.
-Ushauri kutoka Nje ya nchi.
Haya makundi yote yameishauri CCM njia za kuiondoa nchi hapa ilipofika.
Miongoni wa njia hizo ni Katiba, Tume huru ya uchaguzi,kurudia uchaguzi na kuwawajibisha wauaji.
Kesi ya Lisu ni njia mojawapo ya namna ya kutokea,lkn hii ni janga kubwa Kwa CCM kuliko Lisu mwenyewe.
Wanaweza hata kumfunga maisha au kumhukumu kunyongwa lkn bado haitakua nafuu,salama au ahueni kwao,Bali ndio watakua wamechochea hasira za watu duniani kote na hata kurahisisha anguko lao au kung'oka kwao.
Iko hivi CCM wanapambana kufa na kupona kujuokoa lakini hakuna Tena nafasi ya wao kupona Bali ni kufa TU.
Hivi mnajua Sasa hivi CCM imebaki kikundi kidogo TU ndani ya chama hicho ndio kinajipambania kubaki salama?
Mnafahamu kua hata ndani ya CCM Kuna waungwana wengi sana wanaona kilichofanyika kuhusu Lisu,mauaji na uchaguzi na kinachofanyika Sasa sio haki wala halali ?.
Ndani ya CCM hawakubaliani kabisa Kwa yanayotokea.
Ndio Kuna akina Nchimbi,Warioba na wengine wengi.
Haina ubishi kua ndani ya taasisi hizi nitakazozitaja ni watu wachache TU ndio wanafurahia suala la Lisu na yaliyoyotokea MO29 wengi waliumia sana na wengi wanaumia.
Ndani ya Taasisi ya MAHAKAMA.
Ni majaji wachache sana hawazidi hata watatu wanaofurahia mateso na matendo anayofanyiwa Lisu,hata Hawa wanaoamua kesi hii hivi Sasa pengine ni mapandikizi,machawa,wamelambishwa asali au wametishwa.
1)Katika Taasisi hii ya MAHAKAMA wengi wanajua Sheria na wanatamani haki itendeke,lkn hawana namna wengi wanachukizwa na Hali inavyokwenda.
Kuanzia majaji,mahakimu,wana Sheria,wafanyakazi wa MAHAKAMA na hata wahudumu.
2) JWTZ,TISS, polisi na MAGEREZA
Amini nawaambia,ndani ya Jeshi la JW, TISS,polisi na MAGEREZA wanaofurahia mateso ya Lisu na wananchi ni wachache mno,zaidi ni viongozi wachache wa juu na wajinga wachache lkn sehemu kubwa ya taasisi hizi hawafurahii mateso ya Lisu na wananchi.
3)wananchi wenyewe.
Hapa ndio kwenye Mzizi wa chuki.
Asilimia kubwa mno ya wananchi nadiriki kusema 99.9999...% ya wananchi hawafurahii kabisa uonevu huu.
Na Hawa ndio wenye maamuzi.
Hawa kama wakipewa nafasi ya kufanya maamuzi huru CCM sio kwamba haita shinda Bali haitarudi milele.
Wananchi wanafatilia Kila kitu Kila hatua,wanajua Kila kitu kuhusu siasa za nchi hii,hawadanganyiki kwa lolote. Wanajua kama Lisu ana kosa ama Hana kosa.
Ukitaka kuamini Ninachosema,siku ikitokea mhalifu au wahalifu wa kweli ama majambazi ama wauuaji katika jamii polisi wakifanikiwa kuwatia nguvuni ama kuwaua mhalifu au wahalifu hao wananchi hua upande wa polisi na serikali, hutoa pongezi na hata kuwapa zawadi.
Hii inaonesha wananchi walivyo na taarifa na wanavyojua mambo ya nchi Yao.
Hili suala la Lisu na MO29 ni bomu kubwa sana Kwa CCM wananchi wanafatilia Kila kitu hatua kwa hatua,wanajua kabisa kama Lisu ana kesi ya kujibu ama Hana.
Hali hii Iko hivyo Kwa Wanajeshi,Mapolisi,majaji,wanasheria,TISS n.k.
Kwa kifupi wananchi ni majaji walio Nje ya MAHAKAMA.
Jumuiya ya kimataifa .
Hawa jamaa wanajua mambo yetu Mia kwa mia kupitia wawakilishi wao na Vyombo vya habari na njia nyingine ambazo wanazojua wao.
Mpaka hapa utaona CCM imebaki peke yake na ndani yake kuna watu wachache TU ndio wanapambana CCM ibaki ili na wao wabaki salama.
CCM inajua kabisa kua Siku zao zinahesabika kama uchaguzi utakua huru na wa haki .
Hakika uchaguzi ujao utakua huru na wa haki.
Hapa CCM inatafuta njia za kutoka wakiwa Salama kwa sababu Kwa vyovyote vile wakitoka TU Kuna watu watadakwa.
CCM wanapigania maisha Yao.
Wamefikia hatua ya kufa au kupona.
Kumng'ang'ania Lisu ni sawa naJambazi alie ndani ya jengo amezungukwa na polisi Kila upande,anajua kabisa hatoki salama,basi anaamua kumkamata mtu mmoja ndani ya jengo na kumwekea bastola kichwani ama kisu shingoni huku akiangalia jinsi ya kutoka nae nje na kuwatishia polisi kua atamuua mtu huyo kama wakitaka kumkamata.
CCM hata wafanyeje hawakwepi anguko lao,hata wafanyeje.
Wananchi hawawezi kuwapa nafasi Tena Hawa.
Jumuiya ya kimataifa inawaangalia na kuwafatilia nyendo za CCM kwa umakini mkubwa sana,kama vile ilivyokua ikifuatilia tawala za kibaguzi huko Afrika ya Kusini,
Polisario, Palestina,Sudani n.k.
Tanzania haiko sayari nyingine,ipo hapa hapa duniani,hivyo haiwezi kukwepa shinikizo la kimataifa.
Hawa CCM wamenasa kwenye mtego walioutega wenyewe.
"They are fighting for survival".
Fighting for survival" means working very hard or struggling with all your power to stay alive, keep going, or stop something from being destroyed. It describes a high-stress situation where failure means death, ruin, or total loss.