GE2025 CCM imesikiliza maoni ya wanachama wake na kufanya mabadiliko ya Katiba yake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Mabadiliko ya katiba ya ccm yaliyoridhiwa na kuidhinishwa mkutano mkuu wa ccm taifa kidigitali jana, yamechochewa kwa kiasi kikubwa na maoni ya wana CCM wenyewe, kwa kuongezwa wigo zaidi kwa watia nia wa ubunge na udiwani, ili wajumbe wapate nafasi nzuri zaidi ya kuwapima watia nia hao na kuwapendekeza wale ambao wana ridhaa za wananchi waliowatuma.

Mabadiliko hayo yamedhihirisha na kuuthibitishia umma wa waTanzania kwamba, CCM ni chama sikivu kwa wanachama wake na wananchi wa Tanzania kwa ujumla, na kwahivyo kinafaa kuendelea kuongoza nchi, kinafaa kukubalika zaidi, kinafaa kuaminika zaidi na hatimae kinafaa kupewa ridhaa na dhamana ya kushika dola, kuunda serikali na kuongoza nchi kidemokrasia, hususani tunapoelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania, mapema October mwaka huu 2025.

Ni muhimu zaidi kila mdau wa JF, kuipa kura yake thamani kwa kumpa maua yake mgombea urais wa ccm Dr.Samia Suluhu Hassan, wakati ukifika.

Well done DR.SAMIA SULUHU HASSAN, MWENYEKITI WA CCM TAIFA.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi .

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Mwisho wa Wahuni na genge lenu linaloomgozwa na Samia ni huu.

Hamna namna yoyote Ile ,mruke juuu chini, mwisho wenu ni huuuu.

Hapatakua na Samia Wala Chawa wake Tena
 
pamoja na mikesha yote ile mlofanya ya kupiga ramli mkutano mkuu wa ccm taifa kidigitali usifanikiwe bado mmeng"ang"ana na chuki binafsi dhidi ya ccm kusikiliza wanachama wake na kutekeleza maoni yao kwa vitendo?

washirikina, wapiga ramli, vibaka na matapeli wa kisiasa mnahangaika sana aisee dah :pedroP:
 
Mabadiliko ya katiba ya ccm yaliyoridhiwa na kuidhinishwa mkutano mkuu wa ccm taifa kidigitali jana, yamechochewa kwa kiasi kikubwa na maoni ya wana CCM wenyewe, kwa kuongezwa wigo zaidi kwa watia nia wa ubunge na udiwani, ili wajumbe wapate nafasi nzuri zaidi ya kuwapima watia nia hao na kuwapendekeza wale ambao wana ridhaa za wananchi waliowatuma.

Mabadiliko hayo yamedhihirisha na kuuthibitishia umma wa waTanzania kwamba, CCM ni chama sikivu kwa wanachama wake na wananchi wa Tanzania kwa ujumla, na kwahivyo kinafaa kuendelea kuongoza nchi, kinafaa kukubalika zaidi, kinafaa kuaminika zaidi na hatimae kinafaa kupewa ridhaa na dhamana ya kushika dola, kuunda serikali na kuongoza nchi kidemokrasia, hususani tunapoelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania, mapema October mwaka huu 2025.

Ni muhimu zaidi kila mdau wa JF, kuipa kura yake thamani kwa kumpa maua yake mgombea urais wa ccm Dr.Samia Suluhu Hassan, wakati ukifika.

Well done DR.SAMIA SULUHU HASSAN, MWENYEKITI WA CCM TAIFA.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi .

Mungu Ibariki Tanzania.
Kwa hili, Dr Samia anastahili pongezi. Kupanua demokrasia ndani ya chama, kutakiimarisha chama.
 
Back
Top Bottom