Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
uuUkiwa CCM akili zinafubaa unabaki kuwa zuzu tu
hiyo ni fursa sasa,Kuna mtu aliniambia kuwa CCM bungeni imejaza watu wasiosoma, nikamtalia kabisa.Nikamwambia katika bunge Lililojaza wasomi na wasomi wabobevu ni hili la Sasa.
Baadhi ya watu hawajui ni kwa nini nchi imejaza wasomi lakini bado watu wanadhani hatuna wasomi. Tatizo ni kwa CCM kuwepo kwake madarakani, usomi hauna maana tena.
Watanzania wametoa maoni kuhusu mambo mbali mbali juu ya nchi yao lakini wamepuuzwa na watawala toka CCM.
Kwa muda mrefu Sana watanzania wamevumilia mambo mengi mabaya yanayotendwa na CCM hadi mioyo yao imepigwa ganzi.
Matokeo yake watanzania wamegeukia upande wa kufanya mizaha kwenye kila jambo. Kwenye mizaha watanzania ndiyo wanajihisi wapo salama.
Nchi iliyojaa wafanya mizaha, Iko siku mizaha hiyo itatumbuka usaha.
Hoja ndogo kama hii umeshindwa kuelewa.hiyo ni fursa sasa,
tena muhimu sana kwa upinzani kufront wasomi wake makini mbele za wananchi wakapambane na hao wa ccm wasio wasomi, ili hatimae katika uchaguzi mkuu, wananchi waamue uongozi wa maeneo yao na Taifa kwa ujumla kupitia sanduku la kura.
mayowe na kumbwelambwela mitandaoni kwa uhodari wa kueleza udhaifu wa mwingine kuhalalisha ujuha wako ni kitu useless na completely nonsense katika jamii ya kistaarabu
Kiazi kama huyo anachojua ni kusifia ujinga wa ccm tu.Hoja ndogo kama hii umeshindwa kuelewa.