Ukiwasikiliza watu wa CCM wanapoiongolea Tanzania kama kisiwa cha amani kila mara wakati wa uchaguzi unaweza kufikiria ni jambo la kipekee sana linaloitofautisha Tanzania na nchi nyingine au unaweza kufikiri ni kisiwa kumbe pembeni yake tu kuna nchi za Zambia na Malawi ambazo zimekuwa na siasa za ushindani kuliko Tanzania yenyewe kwa miaka mingi zikiwa na amani kubwa bila utekaji wala watu kupotezwa, katika ukanda huu huu wa SADC kuna Botswana, Lesotho na Swaziland. Ni Katika Africa hiyo yenye Tunisia, Mauritius, Gabon, Mauritania na Equatorial Guinea.