CCM imvue Uanachama na kumfukuza kabisa Chamani Askofu Gwajima haraka sana bila kuchelewa

Wana CCM halisi ni wale walimfunga kamba kijana kule geita na kumpiga mpaka umauti ukiwa mwana CCM lazima ujichukulie sheria mkononi.
 
Siasa za chuki kafanya nani? Ni vipi Lema angerejea Nchini kama kungekuwa na siasa za chuki? Ni vipi CHADEMA ingefanya siasa zake majukwaani kama kungekuwa na siasa za chuki? Embu acheni ujinga wenu na kuunga mkono ujinga.
Ujinga unaunga mkono wewe, Lema alirejea nyumbani ni haki yake si Fadhila, kufanya mikutano ni kwa mjibu wa sheria na katiba ingawa sasa mnatumia mahakamaccm kuzuia mikutano ya chadema kwa njia haramu za kishetani, kubambikia chadema kesi za uongo, kuteka kuua ni siasa za chuki, kuwatuma Polisiccm kupiga chadema mahakamani ni chuki hatari zaidi
 
Mjuba usitake ccm ionekane si chama chama cha kidemokrasia na hakivumilii maoni na mitazamo tofauti ya wanachama wake. Ukimfukuza gwajima utafukuza wengi sana, maana wapo na wanazidi kujitokeza kutoa maoni yao
 
Ndio ninaijua sana CCM. Sasa wewe na ujinga wako unaweza vipi ifahamu CCM?
Wewe huijui ccm huna unachojua huko kwani ungekuwa unajua usingejisumbua kuandika story ndefu isiyo na point hata moja na pia Usingetoa Amri kwa mwenyekiti wenu amfukuze Gwajima,? Lukas ni nani hadi kuwapa Amri viongozi wa ccm?
 
Nimekieleza.
Juzi walioondoka cdm na kwenda Chaumma walikuwa wanaitisha press conference kutangaza kuhama na kuharibu haiba ya cdm, mlikuwa mnasema ndio demokrasia, leo yale yale mliyokuwa mnashabikia mnaleta magazeti marefu. Tulia dogo vinginevyo utakuja kuliwa jicho kwa uchawa wa kiduwanzi.
 
Ungeacha wenye akili Timamu na wanaojitambua wajadili hoja
 
Wewe huijui ccm huna unachojua huko kwani ungekuwa unajua usingejisumbua kuandika story ndefu isiyo na point hata moja na pia Usingetoa Amri kwa mwenyekiti wenu amfukuze Gwajima,? Lukas ni nani hadi kuwapa Amri viongozi wa ccm?
Lucas ni Mwanachama. Na CCM inaundwa na wanachama ambao ndio msingi wa ushindi wake katika kila jambo.
 
Lucas mkianza kufukuzafukuza wanachama wenu wenye maoni tofauti mtafukuza wengi sana na mwisho mtaua chama. Chama kikianza kuondokewa na wanachama wa aina hii wenye mawazo na maoni hojaji kitasambaratika kizembe sana na kitafika ukomo wa maisha yake Kama UNIP na KANU vyama vya ukombozi vya Zambia na Kenya
 
Kwa hiyo CCM Kibaki chama cha wakongwe.

Wageni sio wenzenu.
 
CCM ni chama chenye utaratibu ,kanuni na miongozo yake. CCM haiendeshwi kihuni huni. Siyo mahali pa kujiropokea kama mlevi wa gongo
Utaratibu upi upo ccm? Kuwatuma Polisiccm kuwabambikia kesi chadema ni utaratibu huo? Miongozo ipi? Mchakato wa kulitangaza jina la mgombea Urais ccm ulifuata muongozo upi? Uhuni upo ccm kwa wingi ikiwemo kukutuma wewe Lukas kuleta usumbufu mitandaoni kuteka kuua kuwabambikia kesi za uongo, hupati Uteuzi hata ufanye nini
 
Huyo Gwajima hajawahi kuwa mwana CCM zaidi ya kuzolewa tu. CCM ni chama kikubwa na kila siku kinaingiza na kupokea wanachama wapya.
 
Wewe Lucas Mwashambwa ni mjinga na mpumbavu na sijui ulikujakujaje CCM maana una akili za kichademachadema kama Erythrocyte aliye Chadema lakini ana akili za kiCCMCCM!

Na inaonekana wewe si Msomi, maana ungelikuwa msomi ungeliujua msemo wa "Keep your friends close, but keep your enemies closer!" Ila kwa ujinga wako, eti kila mwenye mawazo mbadala, afukuzwe. Kabaki na wazazi wako tu Sasa! PUMBAVU!!!
 
Huyu aachwe arukeruke tu hana lolote
 
CCM ni matapeli Tu jibuni hoja za mwanaccm mwenzenu acheni kurukaruka,hata Nyerere alisema CCM cyo mama yake
 
Ccm kila msema ukweli ni adui wao mkubwa, wao wanachopenda ni kusifiwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…