CCM imvue Uanachama na kumfukuza kabisa Chamani Askofu Gwajima haraka sana bila kuchelewa

Hovyooooooooooooooooooo............................................!!!!!!!
 
CCM lingekua dude kubwa kam unavyosema lisingebabaika na Chadema na kina Gwajima. Uoga na hofu ndo vimewajaa
 
Mnateka,mnaua,mnabaka,mnakula rushwa,hivi ni binaadam gani atakuwa upande wenu,kafieni mbele msitupigie kelele.
 
Ndio ninaijua sana CCM. Sasa wewe na ujinga wako unaweza vipi ifahamu CCM?
Naifahamu sana CCM na CCM inanifahamu mimi kabla hata baba yako hajakukojoa. Ndiyo maana unapojifaragua na CCM hii nakucheka kwa dharaaaaau. Hujui kitu kuhusu CCM wewe ni shabiki kama vile mtu wa kijijini kwenu anavyoweza kuwa mshabiki wa Chelsea kwa kuisikia tu .Kama kuna watu naweza kujadili nao kuhusu CCM ni hao unaowaabudu. Hadi nimeamua kuipa kisogo CCM ninaijua kiulalo ulalo.
 
Nilipumbavu hilo jamaaa,linatafuta ukuu wa wilaya eti
 
Amesema bado yupo sana au hukumsikia kwenye press ya leo?
 
H
izo ni dalili za uwoga
 
Wewe Ponjolo kaa kimya
 
Hayo yote ni Kwa sababu Haupendi Ukweli
Mnataka msifie sifie huku maovu yakiendelea
Ni ujinga sana
Yani wabaya ni wale wanaosifia huku vitu vikiwa vinazidi kuharibika

Na anasema “Tutabanana humu humu sitoki “
 
Mpaka leo unatumia maneno kama uliotukuka 🤣🤣🤣🤣 CCM mmepagawa
 
Dogo acha UTOTO, tuliza MCHAZA, waulize wangoni maana ya MCHAZA.

Kumfukuza Gwajima ni kumpa political mileage huko kwenu, Kwanini hamtaki kukosolewa?? Mpaka sasa Gwajima kaongea kitu Gani kibaya?? Acha UNAFIKI WE MNDALI 😅😅😅😅
 
Acheni kuweweseka mmechokwa hamna jipya tena
 
Umeandika matakataka yote muda umepata wapi? unataka kusema nini?wewe tangu ccm,tanu vinakuwepo Rais anapatikana bila kushindanishwa? Hamtaki kuchalengiwa ndiyo shida! Wanaojitambua huwezi kuwaburuza hawa siyo ponjoro wa kinondoni au wa nkasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…