CCM imvue Uanachama na kumfukuza kabisa Chamani Askofu Gwajima haraka sana bila kuchelewa

Uko sahihi.Askofu ana chuki binafsi na utawala wa sasa.Ni mchonganishi na ana hasira ya kukosa kukusanya sadaka
Wewe ndiyo una chuki na Gwajima kwa kukuzuia uache kuteka kuua kuwabambikia kesi za uongo chadema
 
Umeandika matakataka yote muda umepata wapi? unataka kusema nini?wewe tangu ccm,tanu vinakuwepo Rais anapatikana bila kushindanishwa? Hamtaki kuchalengiwa ndiyo shida! Wanaojitambua huwezi kuwaburuza hawa siyo ponjoro wa kinondoni au wa nkasi
Ponjoro Abasi Tarimba ndilo liliwatuma Polisiccm kwenda kupiga waumini wa Gwajima wakiwa kanisani, limeshinikiza vingi vya hovyo hata Bungeni ni moja ya watu wa hovyo sana huko kwa ibirisi wa ccm
 
Lucas Mwashambwa tujifunze kuvumilia mawazo tofauti kwenye chama. Mh. Nchimbi 2015 ilimwacha na doa la usaliti. Amini usiamini, kuna wana CCM, mpaka leo wanauguza vidonda vya kukatwa Lowasa. Je, hawa niaadui zetu.
Mm sikubaliani na approach yake, lakini tujiulize utekaji ni jambo zuri? Mpasuko wa kisiasa ni jambo zuri? Kama majibu ni hapana, ushauri wangu ni sisi tujisahihishe. CCM ina dola, yaweza kufanya lolote ikipenda
 
Mnateka,mnaua,mnabaka,mnakula rushwa,hivi ni binaadam gani atakuwa upande wenu,kafieni mbele msitupigie kelele.
Kwa madhambi haya changanya na laani za wengi walionewa na ibirisi wa ccm lazima ccm ikwame na kupotea kama KANU ya kenya
 
Utabiri wa marehemu shekhe Yahya unaenda kutimia ccm bye bye itakuwa kama KANU ya Kenya
 
Amen upanga atakaopigwa cha utwarudi ninyi akupigae chavula kushoto mgeuzie na la kulis
 
Wamuache kwa kuwa CCM huwa hatuogopi kukosolewa.
Atajibiwa bila shida.
 
Huu Utakua ushamba

Wamwache ajimalize chamani

Keshaharibikiwa
 
Hamna sehem umejibu hoja, badala yake umeandika hisia tu

Hisia huwa hazifanyiwi kazi
 
Unajaza fullscape nzima utumbo aisee,kama sio mwenzenu aliingiaje kwenye chama chenu? Mwashambwa punguza uchawa wewe na ndo maana hujaenda msibani kwa mjomba Mpoto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…