BonventureSr
JF-Expert Member
- Nov 16, 2023
- 879
- 1,432
Wote mmeona namna huu uchaguzi ulivyo kuwa wa wazi,
Tofauti na Ndio za CCm na Hapana zao
Tofauti na Ndio za CCm na Hapana zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama wana akili watajifunzaWote mmeona namna huu uchaguzi ulivyo kuwa wa wazi,
Tofauti na Ndio za CCm na Hapana zao
hao wajumbe wakumbukwe kwa kazi nzito waliyoifanya, yafaa wapatiwe double posho kabla hawajaondoka hapoIla siku nyingine waweke bajeti ya akiba, wajumbe mpaka sasa hivi hawajanywa chai..!
Sure mkuu yaan ni funzo sio wanafanya mambo kishabiki shabiki Mwasi Kitoko anasetiwa anaenda kuropoka kwa niaba ya wote wanaotaka na wasiotaka, vunja Katiba uunda Azimio la Mchongo DodomaWote mmeona namna huu uchaguzi ulivyo kuwa wa wazi,
Tofauti na Ndio za CCm na Hapana zao
Kumbe shida ni Akili aiseee 😂😂kama wana akili watajifunza
Eti Azimio la mchongo😂😂Sure mkuu yaan ni funzo sio wanafanya mambo kishabiki shabiki Mwasi Kitoko anasetiwa anaenda kuropoka kwa niaba ya wote wanaotaka na wasiotaka, vunja Katiba uunda Azimio la Mchongo Dodoma
Wangemfanya Nini Wale wajumbe hewa.Dodoma Tulipigwa Bumbuazi Akapita Kwenye Ujanja Mtupu
🤣😂🤣😂😂Wangemfanya Nini Wale wajumbe hewa.
Chama kinakufa ndani kwa ndani kile,kuna siku kitaanguka tu puuuu chini.Ccm ishajifia haina ishawishi kabisa kwa wananchi
CCM ishakufa na kuanguka puuu ni vile inatumia mabavu na dola kulazimisha ipendweChama kinakufa ndani kwa ndani kile,kuna siku kitaanguka tu puuuu chini.
Ni aibu kubwa kwa CCM.Wote mmeona namna huu uchaguzi ulivyo kuwa wa wazi,
Tofauti na Ndio za CCm na Hapana zao