CCM ina tatizo la kuwa-brand watu wasio na uwezo.

Acha basi usije kuchekwa
Ndio yale yale ya Mwabukusi ku-challenge wabunge wasio graduate kwenye mdahalo huku chama chake kinaongozwa na form 4 failure, hilo halioni, ila Mwenyekiti wake pia ashakuwa Mbunge asiye graduate, hilo haoni. Anaona walio CCM tu.

Kama ambavyo CCM kuna low IQ na high IQ,ndivyo hivyo hivyo Chadema kuna Low IQ na high IQ pia.
 
Ndio yale yale ya Mwabukusi ku-challenge wabunge wasio graduate kwenye mdahalo huku chama chake kinaongozwa na form 4 failure, hilo halioni, ila Mwenyekiti wake pia ashakuwa Mbunge asiye graduate, hilo haoni. Anaona walio CCM tu.
Mwabukusi ni Chama Gani?
 
Hatari sana kama yule wa kwenye uzinduzi wa meli kule Mwanza aliyesema itasaidia usafiri nchi jirani kama congo,malawi,sudan....!
 
CCM hata ukiwa na uwezo kwa ujinga wao lazima na wewe uwe mjinga.!!
 
Mkuu umemaliza kila kitu...ungonjwa wa Taifa letu.
 
Ili Uwe na Vigezo vya kuonekana mtu mahiri Tanzania ni kuandika uzushi, uongo na kutusi viongozi

Hii ni sifa ya kujiunga na chama kimoja ambacho ni mali ya Familia
Ungejikita kwenye UZI, hao unao watuhumu wala hawana impact yeyote kwa nchi; madam CCM ipo madarakani then hi ina uhusiano wote na maisha yetu ya kila siku. Jikite kwenye uzi
 
Who will be vetting rather monitoring the system, ndugu tatizo siyo vetting system hata hao,Dr and Prof wanajizima data, yaani washika tonge wakipewa dhamana kuahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima data, unyumbu ni tabia ya wanao pewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao bila utii
 
Si wanasemaga kuoza kwa samaki huanzia kichwani?
Anyway, you said it all.
 
New York City
UN HQ
UNGA 79
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kikao cha 79

Hotuba ya waziri mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akimuwakilisha mheshimiwa Rais Dr. Samia S. Hassan


View: https://m.youtube.com/watch?v=NtmnR6iZXtU
Kassim Majaliwa Majaliwa, Prime Minister of the United Republic of Tanzania, addresses the Summit of the Future.

The Summit of the Future offers a once-in-a-generation opportunity for change and a chance to commit to bold new solutions. It provides an opportunity to create international mechanisms that better reflect the realities of the 21st century and can respond to today's and tomorrow's challenges and opportunities. As a global community, we have a role in setting a better course for our world. By working together, we can achieve a safer, more peaceful, just, equal, inclusive, sustainable, and prosperous future.

The General Assembly started the meeting with adopting the Pact for the Future Resolution with annexes Global Digital Compact and Declaration on Future Generations
 
Raisi wa Tanzania akishaapishwa tu, tayari anakuwa mtu mwenye akili kuliko taifa zima.
Injinia yeye, dakatari yeye, muhasibu yeye, mchumi yeye, kamanda yeye, mtoza ushuru yeye....ni yeye, ni yeye tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…