Ni kweli CCM ilikuwa na wanachama wengi kupita maelezo na kwa sasa kusema kweli imepoteza nguvu na wanachama waliobaki ni waganga njaa ,sio wenye imani kama ilivyozoeleka,
Leo hii CCM imefikia kutegemea Tume ya Uchaguzi ambayo ni lazime iwe inatokana na wao kwa maana isiwe Tume huru, wanajua Tume ikiwa Huru vimeo wote wamekula hasara ,tukubalianeni kuwa ndani ya CCM kuna wasomi wa uhakika lakini wamebanwa na nafasi zao ni za kuweka saini tu sio maamuzi wala ushauri,kwani kuna vimeo waliojijenga kimikakati ndani ya CCM na Serikali yake ,wana nguvu na ushawishi kuliko majaji na mahakimu wachilia mbali makonstebo,tuliwaona wakati wa magu wakipelekeshwa puta na wakuu wa nyumba kumi kumi au wilaya.
Leo hii CCM wanategemea kubebwa na vyombo vya usalama,polisi na vya aina hiyo kama vikiwaacha mkono na kukihesabu sawa na vyama vingine vya siasa , basi CCM watabaki kulamba magalasa tu.
CCM wameiharibu nchi,tayari wameishaivuruga kwa kuwashirikisha vyombo vya ulinzi na usalama kuingia ndani ya siasa na kuonekeza wazi ni wa vyama gani,hili jambo ni baya sana na mwisho wake litawarudia wenyewe waanze kulana nyama,maana Mwalimu Nyerere alisema ukimaliza kuwagawa mwisho mtagawana wenyewe kwa wenyewe ,tunaona fukuto la ndani ya CCM huyu wa Kaskazini huyu wa kusini ,hawa wamo wengi hawa wamo kidogo ,mwisho wa hili ni kulana nyama CCM kwa CCM na hata dalili zipo wazi au zinaonekana chaguzi iliyopita tumeona mvutano ndani ya CCM sio kuanzia juu mpaka kwa madiwani,huu ni mziki wa kufungulia mziki mnene.
CCM hakuna au hawana tena Chama Cha siasa kukiunga inahitajika kazi ya ziada.