CCM ina watu Vichwa sana

CCM ina watu Vichwa sana

Maganjila tz

New Member
Joined
May 2, 2024
Posts
3
Reaction score
5
742e4d27-0965-4e31-a904-48cb51701c3f.jpeg
 
Hamna mtu anayetokea manyoni, akawa na akili
 
Umeukimbia ule uzi wako mwingine kule ulioandika kama bata anaji-help
 
Chaya naona unajipigia promo

Kaza Mwanangu 😀😄,Mama samia mteue kijana
Hamna kitu pale 🤣🤣

Jamaa kazi ni kutafuna tu wake za watu,

Ila Manyoni mnahasara sana,

Kuna Mwaka nilikuwa hapo Upinzani ndio ulikuwa na vijana smart sana,

Ila huyu mbunge asithubutu ata kugombea tena atapoteza Kila kitu
 
Back
Top Bottom