CCM Ina Wenyewe!

Machawa mnazidi kupiga mihayo.

Majizi yanajitengenezea ufalme wa kudumu huku masikini mnaachiwa vumbi.

Dogo mwenyewe ndio huyo kwa shule anayosoma sijui kama anajua Tanzania kuna wenzie wanakaa chini kwa sababu hawana madawati.

Cc:Lucas Mbwa Wa Shamba
 
View attachment 2845057

Mkiambiwa muwe mnaelewa!


Chagua Isaack Mwigulu Nchemba kwa nafasi ya ujumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Bara🤣🤣🤣


Hasa wewe johnthebaptist

Wengine hawa hapa
View attachment 2845192View attachment 2845193
Ndo mnaweza kuona ccm ilivyo akili za ajabu, ukweli wa mambo hao watoto mpaka sasa hawajawa akili kwamba kesho wawe wanasiasa ni utashi wa wazazi wao tu,

Na kama taifa mnaweza kuona ccm inavyolipeleka papaya, kwamba tumeona siasa ndo mpago mzima ,bila kufikiri taifa bado linaitaji wataalam , thinkers tuendako

Acheni watoto wapigeshule siasa mda ukifika wakataka watajoin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…