TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Makubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bro unazingua sana na hzo job trueNchi hii ni ya Wanasiasa na vizazi vyao.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mwenye nacho ataongezewa asiyekuwanacho..[emoji28]
Waambie hao bodaboda, wamachinga na mama ntilie watawaliwa wanaotaka watoto wao waketi katika meza na wakuu watawala.Mlitaka mtoto wa simba awe nyumbu?
Wawe na aibu kidogo,ata Salma Kikwete kwa hadhi ya kuwa First lady hakupaswa kugombea Ubunge!!!Mlitaka mtoto wa simba awe nyumbu?
Nimechekaaaaaaaa!!!!!!!!Yaani Lucas mwashambwa anazidiwa hadi na watoto wadogo hivi???
Nimechekaaaaaaaa!!!!!!!!Yaani Lucas mwashambwa anazidiwa hadi na watoto wadogo hivi???
"Atanyang'anywa hata hiko kidogo alichonacho"
Watakatafuna mnoo
Ndo mnaweza kuona ccm ilivyo akili za ajabu, ukweli wa mambo hao watoto mpaka sasa hawajawa akili kwamba kesho wawe wanasiasa ni utashi wa wazazi wao tu,View attachment 2845057
Mkiambiwa muwe mnaelewa!
Chagua Isaack Mwigulu Nchemba kwa nafasi ya ujumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Bara🤣🤣🤣
Hasa wewe johnthebaptist
Wengine hawa hapa
View attachment 2845192View attachment 2845193