Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Fikiria tarehe 19 na 20, ccm itafanya mkutano mkuu kumpata makamu mwenyekiti tanganyika lakini mpaka leo hakuna majina yaliomba hiyo nafasi ili wanachama wakayapigie kura!!
Haya ni maajabu kwa sababu wanachama watapata muda gani wa kumtathmini na kumchambua makamu mwenyekiti wao?
CCM njooni nendeni CHADEMA muone maana ya demokrasia na uwazi kwenye uchaguzi wa viongozi.
Lakini nimeshangaa CCM kutokuwa na mkakati madhubuti kuizima chadema kipropaganda kutokana na wao kutawala vyombo vya habari kwa takribani mwezi mzima wa uchaguzi wao wa mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa chama.
Nilitegemea ili ccm kuzima kidogo harakati hizi za chadema nilitegemea na yenyewe ingeruhusu majina ya wanachama wao kwenda kuchukua fomu ili kugombea nafasi hiyo.
Sasa Tanzania ingekuwa surprised kuona majina ya viongozi hawa wameenda kuomba nafasi hiyo.
1. Januari Makamba
2. Humphrey Polepole
3. Luhaga Mpina
4. Nape Nnauye
5. Paul Makonda
Sasa hao jamaa kwa kipindi kama cha wiki mbili hizo kabla ya tarehe ya uchaguzi wangepata nafasi ya kujinadi kwa wapiga kura na kuomba nafasi hiyo hakika mngebalansisha angalau equation yenu na chadema ambayo imewaacha mbali.
Lakini tunajua hilo haliwezekani kwa sababu kuruhusu kampeni kwa viongozi wakubwa kama hao kupigana spana kwa uhuru kama ilivyo kwa chadema hilo haliwezekani abadani.
Kwa sababu ndani ya hicho chama ni kosa la jinai kumkosoa mwenyekiti hata kama kuna utapanyaji wa fedha za umma, uhuru huo huwezi kuupata huko kama ilivyo chadema.
CCM muwe ahead of time hasa kwa mpinzani wenu mkubwa kwa njia za amani na demokrasia sio kupigana risasi, siasa sio uadui ni kila mtu ni marehemu mtarajiwa.