Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 910
Ndugu zangu Watanzania
Nilichokiona Leo kinanipa Picha halisi Kwamba CCM pasina shaka inajiandaa Na Mauaji ya Halaiki Kama Yale ya Kimbari Rwanda.
Wengine hawajui niseme nilichokiona Leo Hakina tofauti Na nilichokiona nilipotembelea Rwanda febr 1993 ambapo wananchi Kwenye vijiji mbalimbali walipatiwa mafunzo ya Ukakamavu Kwa kile kilichoitwa Mgambo. Lakini wananchi hawa ambao wengi walikuwa wahutu waligeuka Kuwa waasi wa intarahamwe Na kutekeleza mauaji ya halaiki Kwa jina la ukabila, Leo CCM wanafanya kile kile Kwa jina la Siasa huku Nyuma kuna watu wanaofadhili mafunzo haya Kwa maksudi maalum, hata wanamgambo wa intarahamwe hawakujua Kwamba Mwisho wa mafunzo Yao ni kutekeleza azimio la wafadhili Wao la kuwaua watusi zaidi ya million moja Na nusu zoezi lililoanza kipindi Cha Masika April 1994.
Nikiwa Ndani ya wilaya moja, Kwa research zangu, Ndani ya kijiji kimoja Na Kwa bahati mbaya hakuna Nyumba ya wageni nikapata hifadhi Kwa mwananchi. Asubuhi nikaamswa Na vishindo vya kijeshi Na Sauti Za nyimbo. Asubuhi Ya siku hiyo nikamuuliza mwenyeji wangu Kama kuna kambi ya Kijeshi hapa akasema hao ni Vijana wa CCM, akaenda Mbali Na kunambia wanajiandaa kulinda kura Kwenye uchaguzi ni agizo kila kijiji kuwa Na mafunzo hayo. Interest yangu ikapenya kufuatilia nyendo zao asubuhi iliyofuata yaani Leo, nimedamka asubuhi Na kujifanya nafanya mazoezi nikawafuatilia Hadi Kwenye uwanja wao, niliona mazoezi ya Kuchoma singe Na matumizi ya Panga. Ghafla Picha ile niliyoiona Rwanda ikanijia, niliondoka eneo Hilo haraka Na Kwa bahati mbaya sikuwa Na movie camera, najiandaa kurudi tena huko nikiwa Na Movie Camera Na nitarekodi mazoezi Yao wadau mseme Kama mazoezi hayo ni ya Kulindia kura.
What I believe raia Hawa maskini ya Mungu hawajui what next, kuna Mastermind wako Nyuma ya kitu hii Na Nyuma ya mastermind hawa kuna wafadhili wa mchezo huu Na naamini hata CCM wengi hawajui kitu hii..
Kwa Sauti naomba Serikali ipige haraka Marufuku ya Vikosi hivi ni HATARI SANA. Tunalo Jeshi, wapo Polisi ni Ulinzi unaojitosheleza. Jina na sehemu ya Kambi hii Bado iko Kwenye parandesi Hadi nitapochukua all Details.