CCM inajiandaa Na UMWAGAJI WA DAMU

CCM inajiandaa Na UMWAGAJI WA DAMU

Tangu lini kura ikalindwa kwa panga? Tujiandae kushudia yaliyotokea nchi za wenzetu kama wahutu na watusi

Halafu wao si ndio wezi wa kura wanamlimnda nani tena

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wewe taja ni mkoa gani wilaya na kijiji kwani wao wanafanya siri, c wazi na ukaambiwa lengo lao unaogopa nini! au umetunga story. Acha woga kwani kama unataka kulinda amani ya nchi fichua uovu
 
Wapi? kuwa specific isije kua propaganda.

Wewe taja ni mkoa gani wilaya na kijiji kwani wao wanafanya siri, c wazi na ukaambiwa lengo lao unaogopa nini! au umetunga story. Acha woga kwani kama unataka kulinda amani ya nchi fichua uovu

Husiwaambie,kusanya ushahidi kwanza,wanafiki na wazindiki wakubwa,kwani wanajitia kuwa hawajui wapi mafunzo hayo yanaendeshwa?Kama hauyapendi meno na kucha zako taja ni wapi alafu kesho uende na kamera yako uone!!
 
Binafsi nimekuwa nikishangazwa na kelele za ukabila na udini unaopandikizwa na CCM kwa CHADEMA bila ya kufahamu lengo lao, sasa ndiyo naanza kupata picha.
Kwa jinsi inavyoelekea CCM wanaweza hata kuanzisha kampeni dhidi ya kundi fulani la wananchi kama wanavyowa demonize watu wa eneo fulani kwamba eti hawastahili kupata nafasi katika uongozi wa nchi hii!
Sijui ni wapi walikoichukua falsafa hii ambayo ni kinyume kabisa na ya mwasisi wao Hayati Nyerere.
Namaliza kwa kusema kama mmoja alivyochangia humu, Time will Tell.
 
Hawajajua saikolojia ya wananchi wenye njaa wanaowarubuni.Watageuka kuwa bomu kwao wenyewe.Ni muda tu utaongea.Subirini.
 
Wakati wa kampeni za uchaguzi wa 2010 ndio nilisikia kwa mara ya kwanza juu ya hayo makambi...Kijana aliyeshiriki mafunzo hayo aliniambia kila kitu walichofundishwa huko...niliogopa sana. Wanafunzwa kulazimisha ushindi kwa njia yoyote ile hata ikibidi kuua. Haya mambo lazima yakomeshwe mara moja
 
Taifa hili linachukia sana mitandao, hata kutazama hawataki, mitandao inachangia 98% ya source of taarifa. Wajinga wamekalia njia Za kianalojia kufuatilia man-to-man.
 
Back
Top Bottom