CCM inakufa mikononi mwa Kikwete, utabiri unatimia

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Huu utabiri ulitabiriwa miaka ya 2010-2015 wakati Jakaya Kikwete akiwa Rais na ufisadi, uzembe na upendeleo usio na tija uliposhika uskani na kusababisha CCM kuchukiwa na wananchi.

Yamejirudia yaleyale na CCM hii ipo mikononi mwa ...

Na inaenda kufa kama walivyotabiri wahenga.
 
Huu utabiri ulitabiriwa miaka ya 2010-2015 wakati Jakaya Kikwete akiwa rais na ufisadi,uzembe na upendeleo usio na tija uliposhika uskani na kusababisha CCM kuchukiwa na wananchi.

Yamaejirudia yaleyale na CCM hii ipo mikononi mwa ...

Wewe ndio unachukia. Wengine woote wameridhika na Mama na Mwakani Tunapata Katiba Mpya.
 
Ndoto za wafu... mtasubiri sana kwa upinzani huu uliopo CCM itaiongoza Tanzania miaka mingi ijayo
 
Kikwete alishasema ccm haitamfia mikononi. Akavuruga mchakato wa katiba mpya. Akamkata rafiki yake mamvi. Akampa kinana na nape kazi ya kukinadi chama na magufuli. Akavuka salama akituacha shimoni/gizani.
 
Huu utabiri ulitabiriwa miaka ya 2010-2015 wakati Jakaya Kikwete akiwa rais na ufisadi,uzembe na upendeleo usio na tija uliposhika uskani na kusababisha CCM kuchukiwa na wananchi.

Yamaejirudia yaleyale na CCM hii ipo mikononi mwa ...

Na inaenda kufa kama walivyotabiri wahenga.
Malipo ni hapahapa duniani
 
Wewe ndio unachukia. Wengine woote wameridhika na Mama na Mwakani Tunapata Katiba Mpya.

Mama anasema mambo ya katiba mpya mpaka atengeneze uchumi wa nchi!! Unadhani mwakani atakuwa ametengeneza uchumi? Mama hajui kuwa itakuwa rahisi kuimarisha uchumi wa nchi akiwa na katiba mpya, lakini kwa Maslahi yao wenyewe kundi la Kikwete ndio wanafanya ujanja ujanja wa kuchelewesha katiba kupatikana!! Wanawatumia mafisadi wa kisiasa wakina RWEKIZA MUKANDALA kuchelewesha katiba kwa kutumia hoja mfu eti tungoje Mpaka baada ya uchguzi wa 2025!!! Katiba inayotakiwa inatakiwa kutumika kwenye huo uchaguzi wa 2025 kuondoa malalamiko na mapungufu kwenye chaguzi kuu.
 
Huu utabiri ulitabiriwa miaka ya 2010-2015 wakati Jakaya Kikwete akiwa Rais na ufisadi, uzembe na upendeleo usio na tija uliposhika uskani na kusababisha CCM kuchukiwa na wananchi.

Yamejirudia yaleyale na CCM hii ipo mikononi mwa ...

Na inaenda kufa kama walivyotabiri wahenga.
Acha uongo awamu Yako pendwa imeichimbia kaburi kabisa ilikuwa kiduchu ijizike yenyewe,hata macho huna,je masikio 😜
 
Enzi za Nape na Kinana watu walificha jezi ya chama kwa kuogopa kuzomewa!
Enzi zenu pendwa mlihakikishiwa ulinzi wa wazee wa pgo na mliweza mtendea chochote aliyewazomea,hivyo mkabaki kuzomewa kimoyomoyo huku mkijisifu kuzomewa kumeisha😜
 
Huu utabiri ulitabiriwa miaka ya 2010-2015 wakati Jakaya Kikwete akiwa Rais na ufisadi, uzembe na upendeleo usio na tija uliposhika uskani na kusababisha CCM kuchukiwa na wananchi.

Yamejirudia yaleyale na CCM hii ipo mikononi mwa ...

Na inaenda kufa kama walivyotabiri wahenga.
Shamba la timu msoga hilo. Hawezi kukubali life kirahisi.
 
Kikwete was the best President, hakuogopa ushindani, kama siyo baadhi ya watu waoga ndani ya CCM leo hii tungekuwa na katiba mpya,

Sisi tunachotaka ni katiba mpya, whether CCM yupo madarakani, ACT, TADEA, CUF , CHADEMA au chama chochote, as far wameshinda kihalali,

Na mama Samia anaenda kutupa katiba mpya,
 
Katiba ipi? Kama ile waliyofinyanga? Kwa watawala hawa ndugu usitegemee katiba bora! Labda bora katiba!
 
Enzi za Nape na Kinana watu walificha jezi ya chama kwa kuogopa kuzomewa!
Kile kipindi uhuru ulikuepo... Wakati wa magu ungeweza je kuzomea mtu alievaa CCM mbna ungeshtakiwa kwa uhujumu uchumi.... In short wakati wa Magufuli alitengeneza siasa za kumuogopa na kukiogopa Chama cha CCM... Wakati wakina JK siasa ilikua huria sana
 
Uongo mweupe! JPM alikitingeneza chama kwa misingi ya falsafa ya chama ilivyokuwa na mahudhui yake!, leo hii chama kinajinasibu ni cha wananchi lakini ni cha kikundi fulani! Usiseme ukiwa mjini nenda vijijini na watu wa kawaida kama machinga ndo watakuelewa Maana ya JPM
 
Back
Top Bottom