Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kwanza ana uzoefu wa muda mrefu, ni Gwiji wa zile mbinu alizosema Mh Nape.
Ameshika nafasi zifuatano ktk zile nyingi
1. Mwandamizi ktk Jeshi la JWTZ
2. Naibu Waziri wa Ulinzi
3. Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Kwenye chama amewahi kuwa
1. Memba Halmashauri kuu NEC
2. Memba Kamati Kuu CC
3. Katibu Mkuu CCM Taifa.
Huyu Bwana alijiuzulu Mwaka 2018 sababu ikitajwa kuwa ni umri na kwamba amechoka. Anahitaji kupumzika.
Ktk kuthibitisha huyu jamaa ni muhimu sana kwa CCM kuliko CCM ilivyo muhimu kwake akarudishwa tena kama Makamu Mwenyekiti Taifa.
Na sasa amestaafu kwa sababu zile zile za umri na kutaka kupumzika.