Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wakati mwingine muache kuongea msivyovijua. Hisia tu unaanza kuandika. CCM sasa haimuhitaji Kinana ila Kinana ndiye anaihitaji CCM ili biashara zake zisikwame.Kwanza ana uzoefu wa muda mrefu, ni Gwiji wa zile mbinu alizosema Mh Nape.
Ameshika nafasi zifuatano ktk zile nyingi
1. Mwandamizi ktk Jeshi la JWTZ
2. Naibu Waziri wa Ulinzi
3. Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Kwenye chama amewahi kuwa
1. Memba Halmashauri kuu NEC
2. Memba Kamati Kuu CC
3. Katibu Mkuu CCM Taifa.
Huyu Bwana alijiuzulu Mwaka 2018 sababu ikitajwa kuwa ni umri na kwamba amechoka. Anahitaji kupumzika.
Kto kuthibitisha huyu jamaa ni muhimu sana kwa CCM kuliko CCM ilivyo muhimu kwake akarudishwa tena kama Makamu Mwenyekiti Taifa.
Na sasa amestaafu kwa sababu zile zile za umri na kutaka kupumzika.
We zombiKwanza ana uzoefu wa muda mrefu, ni Gwiji wa zile mbinu alizosema Mh Nape.
Ameshika nafasi zifuatano ktk zile nyingi
1. Mwandamizi ktk Jeshi la JWTZ
2. Naibu Waziri wa Ulinzi
3. Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Kwenye chama amewahi kuwa
1. Memba Halmashauri kuu NEC
2. Memba Kamati Kuu CC
3. Katibu Mkuu CCM Taifa.
Huyu Bwana alijiuzulu Mwaka 2018 sababu ikitajwa kuwa ni umri na kwamba amechoka. Anahitaji kupumzika.
Kto kuthibitisha huyu jamaa ni muhimu sana kwa CCM kuliko CCM ilivyo muhimu kwake akarudishwa tena kama Makamu Mwenyekiti Taifa.
Na sasa amestaafu kwa sababu zile zile za umri na kutaka kupumzika.
Mwenye barua ya kujiuzulu kwa Cde Kinana anitumie!Kwanza ana uzoefu wa muda mrefu, ni Gwiji wa zile mbinu alizosema Mh Nape.
Ameshika nafasi zifuatano ktk zile nyingi
1. Mwandamizi ktk Jeshi la JWTZ
2. Naibu Waziri wa Ulinzi
3. Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Kwenye chama amewahi kuwa
1. Memba Halmashauri kuu NEC
2. Memba Kamati Kuu CC
3. Katibu Mkuu CCM Taifa.
Huyu Bwana alijiuzulu Mwaka 2018 sababu ikitajwa kuwa ni umri na kwamba amechoka. Anahitaji kupumzika.
Kto kuthibitisha huyu jamaa ni muhimu sana kwa CCM kuliko CCM ilivyo muhimu kwake akarudishwa tena kama Makamu Mwenyekiti Taifa.
Na sasa amestaafu kwa sababu zile zile za umri na kutaka kupumzika.
Asante kwa kukomenti karibu tena
Mwenye barua ya kujiuzulu kwa Cde Kinana anitumie!
Wameitumikia ccm kwa Miaka yoteWatoto wao wanafanya ujinga wakitumbuliwa baba zao wananuna.
HeheheeTembo watapata amani sasa
Kwa hiyo wafanya biashara woote lazima wapitie ccm?Wakati mwingine muache kuongea msivyovijua. Hisia tu unaanza kuandika. CCM sasa haimuhitaji Kinana ila Kinana ndiye anaihitaji CCM ili biashara zake zisikwame.
Kilichomrudisha kinana wengine hawakuwepo?CCM siyo Chadema ambako Mbowe ni Mwenyekiti wa kudumu 😀