CCM inamhitaji Kinana kuliko Kinana anavyoihitaji CCM

Ni kitu gani cha ajabu alikifanya kwenye taifa letu?
 
Mtu kama alikua ana staarf mnamrudisha inamaana mnauhitaji nae sana.
Usikaze kichwa CCM haijawah kuamini katika rasilimali vijana ilio nao huo ndio ukweli..so bado inamhitaji KINANA na sio wewe Na kadi yako.
Ungejua kuwa namfahamu Kinana Personallyna alishakuwa boss wangu. Ni hivi CCM kwa sasa haimuhitaji Kinana ila Kinana anaihitaji CCM
 
Mtu kama alikua ana staarf mnamrudisha inamaana mnauhitaji nae sana.
Usikaze kichwa CCM haijawah kuamini katika rasilimali vijana ilio nao huo ndio ukweli..so bado inamhitaji KINANA na sio wewe Na kadi yako.
kinana alishawai kuwa makamu mwenyekt akastaafu akarudishwa?
 
Makamu ametuambia hakuna mtu au nafasi isiyiweza kuzibika. Mkikaa mmtetulia mkumbuke hilo. Hakuna anayeweza kudhani ni irreplaceble
 
Mtoa post sijui katika pori gani!
 
Wengi walioko bara hawaangalii hili swala kwa jicho la tatu..

Wakati umefika wabara waone karibu kunakucha tutunze rasilimali za bara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…