Dalili kuna watu wataenda the Hague this timeCha msingi iwe njia ya wazi ambayo watanzania wataridhika. Hofu yangu ni pale maridhio yasipokuwepo. Wote tunaipenda nchi yetu kwa mustakabali wetu na wa vizazi vyetu vya baadae.
Pamoja na hayo Sera zinachangia kupelekea watu kujikwamua check wenzetu ulaya Sera zao ni mtelezo kwa wananchi wao ,sasa kama mtawala anawasomesha watu namba ili wawe masikini ili aabudiwe.Maisha kuboreka au kuharibika ni uamuzi binafsi wa mtu mwenyewe. Kama msemo usemavyo.. unaweza kumpeleka punda mtoni ila huwezi kumlazimisha kunywa maji.
Swali lingekua, serikali imeweka miundombinu thabiti ya mtu kujikwamua? Hapo jibu ni Ndiyo.
Masikini ndio Mtaji mkuu wa ccm,makomunist,wajamaa,madikteta wote duniani ukisoma falsafa MTU akiwa masikini upungukiwa na akili sababu ya kuzongwa na shida MTU akiwa mjinga uamini propaganda ukiwa masikini ni lzm uwe mjinga,haya ya kununua ndege badala ya matrekta wanayajua na wanafanya makusudi,trekta mtazalisha mtaondokana na umasikni ukiondokana na umasikini utakuwa mwerevu ukiwa mwerevu watakosa kura yako utazijua haki zako,ukizijua haki zako ccm itakufa ccm ikifa means wapiga dili wa ccm watakufa njaa.Hao wananchi unaowaongelea wanajali Sasa wao muhimu ccm iendeleee kuwepo tu
Import duty 100% ukiagiza gari la mtumba Japan Tanzania wanapiga pesa ndefu kuzi hata Toyota waliotengeza hayo magari.Mfumo wa tozo la TRA umewatoa wengi kwenye biashara hasa watu wa kipato cha wastani.
Pamoja na hayo Sera zinachangia kupelekea watu kujikwamua check wenzetu ulaya Sera zao ni mtelezo kwa wananchi wao ,sasa kama mtawala anawasomesha watu namba ili wawe masikini ili aabudiwe.Check mfano wakulima wa korosho wameporwa korosho zao wamekaa nazo miaka 3 then wanawarudishia korosho zao eti zimesinyaa.Wanaochomoka kimaisha ni mmoja mmoja sisi tunasema majority ili uwainue ni lzm uweke Sera wezeshi
Masikini wa mazingira yamewafanya hivyo na sio mfumo,mfano mateja,ulemavu,nkUlaya kuna masikini, ombaomba na homeless kibao pamoja na miundombinu kuwa in place. Ndo maana nasema kujikwamua ni uamuzi wa mtu.
CityLab University: Understanding Homelessness in America
Isije kuwa wewe ndie jiwe mwenyewe?kila kitu ndege hemu acha ushamba.Kama hayajaboreka Lisu amgekuwa anafanya kampeni kwa ndege ya kukodi ya pesa alizochangiwa na wanachadema?
Si amgekuwa anatembea kwa miguu kufanya kampeni
Sisi Chadema tunatuma Maombi Maalum kwa Mgombea Urais wa CCM Mzee Daktari bingwa wa kemia duniani Bwana Magufuli Kukubali Kuwa na MDAHALO na Mgombea Urais Wa Chadema Kamanda Tundu Lissu ili Kushindanisha SERA na Mitazamo Yao kwa Nchi Yetu Live kwenye TV na Redio Zote za Duniani na Wananchi Wote Watasikiliza!:Wanabodi,
Ni dhahiri shahiri mikoa ya kusini ACT Wazalendo wanakitesa chama changu kwa hoja na makombora mazito ni kama wanatusambaratisha kabisa kwa kumtumia mbunge Bwege na mtu aitwaye Chaurembo
Mosi, hoja ya kuwa CCM ilipora korosho kinguvu na kutowalipa wakulima inatutesa sasa sana. CCM kuwaambia wananchi wakafuate pesa zao jeshini ni la aibu. Hii kauli inasemekana ilitolewa na wakuu wa wilaya na wakurugenzi huku wakifahamu wananchi wanaheshimu maeneo ya jeshi.
Utamuambiaje mkulima wa korosho afuate pesa Jeshini?
Pia hoja ya kuwa mashangazi watachakazwa imechukua sura mpya huko kusini. Pia kauli ya kuwa hata CCM ikipoteza majimbo yote kusini wataendelea na kazi imechukua sura mpya na kuwasha moto usiozimika kwa watu wa kusini
Hapa nashauri mambo mawili ili kukiokoa chama changu cha CCM
Mosi, tumtumie Mama Salma Kikwete kuomba radhi kwa kauli tata zilizotilewa hapo awali. Yeye watamuelewa kama Mama na mkazi wa huko.
Pili, tusijaribu kumtumia Waziri mkuu Majaliwa kuomba msamaha. Huyu huko Lindi anaitwa msaliti ingawa alikomaa kidogo wakati wa korosho, tutaharibu kabisa watu wana hasira sana.
Upande wa kaskazini mwa nchi CCM tunapigwa kwa hoja za ugumu wa maisha ya watu na Mamlaka ya mapato(TRA) kutumika kuwahujumu wafanyabiashara kwa kutumia Agency Notice. Hii hoja anaitumia Tundu Lissu na mpaka sasa inatutesa na kutuchakaza.
Watu ambao hawakujua sasa wanaamini Benk zetu sio salama sana kuweka pesa kwani zinaandikiwa barua na TRA kutoa pesa za wafanyabiashara hivyo kusababisha mzunguko wa pesa kuwa hovyo na maisha na ajira kuwa magumu na kutoweka.
Hapa nashauri Jambo moja tu,Hatuna haja ya kuongelea mambo ya reli, barabara kwenye mikoa kama Arusha, Mwanza au Shinyanga. Hawa watu wanahitaji habari za pesa na fedha tu sio porojo. Na wengi wana kubali maisha yamewatandika na wameyumba kipesa. Sera za kipesa kama Fiscal policy za kuongeza pesa kwenye mzunguko ndio za kuziongelea huko, CCM iseme itaongeza mzunguko wa pesa kupitia private sector partinership kwenye miradi na sio kutumia makampuni yake pekee ya kiserikali.
Tunazidi kuangalia hali ilivyo na tutatoa ushauri. Kuna mambo makubwa tumejifunza kwenye kampeni hizi na utofauti wa maslahi kikanda hasa kusini na kaskazini
Tulipokosea CCM tukubali makosa na kuwaomba wananchi msamaha. Nina hakika mambo mazuri mengi yamefanyika hata huko kusini na kaskazini, Mambo madogo ambayo yamewajaa wananchi moyoni ni kuomba msamaha na kusonga mbele.
Tukiwaambia mambo magumu mkabisha sasa kwa mashehe mnafuata nini CCM ?Kama hayajaboreka Lisu amgekuwa anafanya kampeni kwa ndege ya kukodi ya pesa alizochangiwa na wanachadema?
Si amgekuwa anatembea kwa miguu kufanya kampeni
Wewe ni muungwanaMkuu, Tumetofautiana uwezo wa kufikiri na Pia aina ya elimu tuliyopatiwa
Tunatofautiana aina ya malezi na misimamo ya waliotulea
Hao wanaoitwa mataga ndani ya chama changu cha ccm wengi ni choka mbaya haswa ni vijana wa elimu za kata na wazee wafia chama ambao hawaangalia mambo yanabadilika wao ni kupiga filimbi na matarumbeta kupata pesa mfukoni
Mambo mengi tunakishauri chama na yanafanyiwa kazi sana
Hao wanaoitwa mataga ndani ya chama hawana hoja wao wanajua kutukana ,mipasho na kuleta vichekesho na vituko
Kikubwa wapuuze wewe shauri chama kisonge mbele
Tena umeshauri vema kabisaHuu ni ushauri tu
Wasiwasi wako tu, huko kusini ni ngome zao hao na ndizo wanafanyia mbwembwe kungine ni kujidanganya tu.Wanabodi,
Ni dhahiri shahiri mikoa ya kusini ACT Wazalendo wanakitesa chama changu kwa hoja na makombora mazito ni kama wanatusambaratisha kabisa kwa kumtumia mbunge Bwege na mtu aitwaye Chaurembo
Mosi, hoja ya kuwa CCM ilipora korosho kinguvu na kutowalipa wakulima inatutesa sasa sana. CCM kuwaambia wananchi wakafuate pesa zao jeshini ni la aibu. Hii kauli inasemekana ilitolewa na wakuu wa wilaya na wakurugenzi huku wakifahamu wananchi wanaheshimu maeneo ya jeshi.
Utamuambiaje mkulima wa korosho afuate pesa Jeshini?
Pia hoja ya kuwa mashangazi watachakazwa imechukua sura mpya huko kusini. Pia kauli ya kuwa hata CCM ikipoteza majimbo yote kusini wataendelea na kazi imechukua sura mpya na kuwasha moto usiozimika kwa watu wa kusini
Hapa nashauri mambo mawili ili kukiokoa chama changu cha CCM
Mosi, tumtumie Mama Salma Kikwete kuomba radhi kwa kauli tata zilizotilewa hapo awali. Yeye watamuelewa kama Mama na mkazi wa huko.
Pili, tusijaribu kumtumia Waziri mkuu Majaliwa kuomba msamaha. Huyu huko Lindi anaitwa msaliti ingawa alikomaa kidogo wakati wa korosho, tutaharibu kabisa watu wana hasira sana.
Upande wa kaskazini mwa nchi CCM tunapigwa kwa hoja za ugumu wa maisha ya watu na Mamlaka ya mapato(TRA) kutumika kuwahujumu wafanyabiashara kwa kutumia Agency Notice. Hii hoja anaitumia Tundu Lissu na mpaka sasa inatutesa na kutuchakaza.
Watu ambao hawakujua sasa wanaamini Benk zetu sio salama sana kuweka pesa kwani zinaandikiwa barua na TRA kutoa pesa za wafanyabiashara hivyo kusababisha mzunguko wa pesa kuwa hovyo na maisha na ajira kuwa magumu na kutoweka.
Hapa nashauri Jambo moja tu,Hatuna haja ya kuongelea mambo ya reli, barabara kwenye mikoa kama Arusha, Mwanza au Shinyanga. Hawa watu wanahitaji habari za pesa na fedha tu sio porojo. Na wengi wana kubali maisha yamewatandika na wameyumba kipesa. Sera za kipesa kama Fiscal policy za kuongeza pesa kwenye mzunguko ndio za kuziongelea huko, CCM iseme itaongeza mzunguko wa pesa kupitia private sector partinership kwenye miradi na sio kutumia makampuni yake pekee ya kiserikali.
Tunazidi kuangalia hali ilivyo na tutatoa ushauri. Kuna mambo makubwa tumejifunza kwenye kampeni hizi na utofauti wa maslahi kikanda hasa kusini na kaskazini
Tulipokosea CCM tukubali makosa na kuwaomba wananchi msamaha. Nina hakika mambo mazuri mengi yamefanyika hata huko kusini na kaskazini, Mambo madogo ambayo yamewajaa wananchi moyoni ni kuomba msamaha na kusonga mbele.
Hivi huu unafiki utaendelea baada ya uchaguzi?Tukiwaambia mambo magumu mkabisha sasa kwa mashehe mnafuata nini CCM ?View attachment 1580953View attachment 1580954View attachment 1580956View attachment 1580957