Hadi watoto wadogo wamelazimishwa kuokota makopo ili wakauze ndipo Moto uwake nyumbani angalau watu wale haya mateso yameletwa na mtu mmoja anaesaza Kodi za watu ajui ugumu wapatao wananchi.Watoto jukumu lao ni kucheza na kusoma na sio kuokota makopo ili wajihudumie hii ni kinyume na haki za watoto pia ni ukatili.Unapoondoa mzunguko wa pesa lengo ni kuwauwa njaa watu wako.
Eti anawasomesha namba eti anawanyoosha maisha yenyewe mafupi kipi zaidi ya kuukimbiza upepo,walikuwepo kina sokoine na mbwembwe zao wanasaomwa kwenye historia,dunia uwanja wa fujo we fanya mbwembwe zako wee mda unafika unapita.