Tunapokosea watanzania ni kuendelea kuruhusu CCM ibaki madarakani kwa muda mrefu zaidi. Mfumo wowote wa uongozi ukibaki madarakani muda mrefu matokeo yake ni kujisahau na kufanya mambo kwa mazoea.
Watanzania tunapaswa kuangalia alama za nyakati, ni wakati wa kuondokana na CCM kwa namna yoyote ile vinginevyo tutakuwa tumechelewa.
Watanzania tunapaswa kuangalia alama za nyakati, ni wakati wa kuondokana na CCM kwa namna yoyote ile vinginevyo tutakuwa tumechelewa.