CCM inapaswa kukataliwa kwa nguvu zote

CCM inapaswa kukataliwa kwa nguvu zote

Tukiiondoa CCM kwa haraka kutokana na hasira tuu, aje nani kwenye nafasi yake?.
Nashauri Watanzania tutafute. Kwanza mbadala wa CCM, ndipo tuifungashe virago, bila Tanzania kuwa na mbadala wa CCM, CCM bado ipo sana!.
P
Kwa mazingira ya Sasa ni ngumu kupata mbadala sahihi labda Kama CCM wenyewe wangegawanyika.

Lakini wakati tunasubiri mbadala CCM. Umekuwa ikiharibu zaidi kiasi akija mbadala Kila kitu kitakuwa kimehari ika.
Ni Bora tuitie maana wakishatoka akili zitawarudia kumbe tulichokuwa tunafanya sicho walichokuwa wanataka wananchi.
 
CCM mtaua wapinzani wengi sana kwa hizi habari za uchaguzi.
nadhani uchaguzi ndani ya chama hiki utawamaliza wanaopinga wenye chama hicho wengi sana,

inasikitisha na kutia huruma sana aisee dah 🤭
 
Tukiiondoa CCM kwa haraka kutokana na hasira tuu, aje nani kwenye nafasi yake?.
Nashauri Watanzania tutafute. Kwanza mbadala wa CCM, ndipo tuifungashe virago, bila Tanzania kuwa na mbadala wa CCM, CCM bado ipo sana!.
P
Acha fikra za kizamani .
 
  • Thanks
Reactions: al1
Tunapokosea watanzania ni kuendelea kuruhusu CCM ibaki madarakani kwa muda mrefu zaidi. Mfumo wowote wa uongozi ukibaki madarakani muda mrefu matokeo yake ni kujisahau na kufanya mambo kwa mazoea.

Watanzania tunapaswa kuangalia alama za nyakati, ni wakati wa kuondokana na CCM kwa namna yoyote ile vinginevyo tutakuwa tumechelewa.
Msikilize mayalla, anasema hakuna mbadala wa CCM. Huyo ndio muandishi nguli.
Tatizo la nchi ya tz ni kubwa

One thing I know for sure , CCM itaondoka kwa damu kumwagika

Civil wars ndio mara nyingi zinaleta kuheshimiana kwenye nchi. Si mnaona Ruto na udikteta wake but ameheshimu generation Z sababu anatambua civil wars za kenya zilizoondoa kabisa aman ya nchi

CCM watambue , watoto zao tunasoma nao , wake zao tunafanya nao kazi. wao wenyewe tunaishi nao mtaani, tunajua nyumba wanazo kaa, tunajua mitoko yao ni wap na wap , tunajua vimada na michepuko yao ni ipi…,,so they need to be matured and understand that we all need peace

If they bring mess out of mess , , we will also do the same

Polis, na vibaka wa Tiss , wote tupo nao mtaani, tunajua wanapoishi, tunajua watoto zao wanaposoma….waangalie sana

vyombo vya usalama na ulinzi Kenya wanaheshimu raïa because they know …..
Si mnakumbuka hapo kenya polisi, na wenye usalama walikuwa wanaokotwa kwenye mitaro wakiwa dead body , sasa endeleeni kuua watanzania na kuwachukulia poa
Ni suala la muda
 
Tukiiondoa CCM kwa haraka kutokana na hasira tuu, aje nani kwenye nafasi yake?.
Nashauri Watanzania tutafute. Kwanza mbadala wa CCM, ndipo tuifungashe virago, bila Tanzania kuwa na mbadala wa CCM, CCM bado ipo sana!.
P
Narudia Tena Mayalla, you are not serious man and not critically thinking. Mmbadala wa CCM wapo kutoka ACT, CUF, Chadema, Chauma etc etc hao wote ni mbadala wa CCM na hakuna mbadala zaid ya huo, you will wait longer till death na hutokuja kusema tunalbadala wa CCM , would you please stop that mental slavery na fear of unknown kuwa hakuna mbadala wa CCM ?

Why do you think other political parties cannot lead the country? Why do you have such attitudes, ?

Ili Tanzania iendelee, kuna generation fulani inatakiwa kupotea kwanza ndio tuje kuendelea, I can trust more generation Z Than older people.

CCM have done nothing kwenye nchi, and it is not going to do anything, mark that
 
Tukiiondoa CCM kwa haraka kutokana na hasira tuu, aje nani kwenye nafasi yake?.
Nashauri Watanzania tutafute. Kwanza mbadala wa CCM, ndipo tuifungashe virago, bila Tanzania kuwa na mbadala wa CCM, CCM bado ipo sana!.
P
CCM imeshakataliwa, Watu wanaojielewa wameshaikataa, wamebaki mazombi na wachumia tumbo.

Ndio sababu ya kutumia nguvu nyingi namna hii, na jinsi wanavyozidi kukataliwa, ndio vurugu zitaongezeka
 
Hakuna la pekee hata wewe waweza kuanzisha chama na kikafanya vizuri kuliko CCM. Unajua kinachohitajika ni kuondokana na mfumo CCM uliokwisha kukaa muda mrefu mno kwenye madaraka na sasa unafanya kazi kwa mazoea. Nilifikiri waelewa wote wataona kwanini CCM ilipaswa kuondoka tangu jana.
Ndio shida mfano leo tuitoe ccm madarakani tumpe nani? tatizo kubwa tulinalo hatuna hazina ya viongozi weny kutawala kwa nia ya kuwakomboa wananchi wote ni kwa hisani ya matumbo yao na hisani ya watu wa ulaya na china
 
Mzee Butiku kawaasa vijana wa TZ; wakizubaa na uwoga wanaweza kutawaliwa na wahuni wahuni.

Hapa.mzee alimaanisha nini?
 
Imeshakakataliwa na wananchi imebaki na dola pekee

CCM imemkataa Mungu hadharani.

Nitashangaa wale viongozi wa udini wakisema tunawaombea watawala na kusema eti wamewekwa na Mungu wakati CCM wameweka wazi Kuwa Mungu apende asipende wataendelea kukaa madarakani milele kama Mungu.

Yaani eti CCM ni chama cha milele kama Mungu .
Yaani eti CCM wana sifa ya umilele kama alivyo Mungu.

Any way kikombe kimejaa. Hawa watu wa CCM ni waovu kuliko shetani.
Kuna watu wengi sana wanakashifu dini za wengine na hata kumkashifu Mungu wa wengine lakini wetu hua wanavulia na hawtekwi wala kuuawa.
Lakini mtoto mdogo tu amechoma picha ya mtu aliyoichora yeye mwenyewe akapotezwa . Hapa ni wazi Kuwa CCM na Serikali yake inamtuukuza mtu mmoja kuliko Mungu Muumbaji kwa sababu wanaamini yeye ndiye kila kitu. Akitaka mtu aishi kama malaika anaweza na akitaka mtu aishi kama shetani anaweza.
 
Ndio shida mfano leo tuitoe ccm madarakani tumpe nani? tatizo kubwa tulinalo hatuna hazina ya viongozi weny kutawala kwa nia ya kuwakomboa wananchi wote ni kwa hisani ya matumbo yao na hisani ya watu wa ulaya na china
Akili za watanzania ni mgando sana.
 
Back
Top Bottom