Tunapokosea watanzania ni kuendelea kuruhusu CCM ibaki madarakani kwa muda mrefu zaidi. Mfumo wowote wa uongozi ukibaki madarakani muda mrefu matokeo yake ni kujisahau na kufanya mambo kwa mazoea.
Watanzania tunapaswa kuangalia alama za nyakati, ni wakati wa kuondokana na CCM kwa namna yoyote ile vinginevyo tutakuwa tumechelewa.
Tukiiondoa CCM kwa haraka kutokana na hasira tuu, aje nani kwenye nafasi yake?.Tunapokosea watanzania ni kuendelea kuruhusu CCM ibaki madarakani kwa muda mrefu zaidi. Mfumo wowote wa uongozi ukibaki madarakani muda mrefu matokeo yake ni kujisahau na kufanya mambo kwa mazoea.
Watanzania tunapaswa kuangalia alama za nyakati, ni wakati wa kuondokana na CCM kwa namna yoyote ile vinginevyo tutakuwa tumechelewa.
Hakuna la pekee hata wewe waweza kuanzisha chama na kikafanya vizuri kuliko CCM. Unajua kinachohitajika ni kuondokana na mfumo CCM uliokwisha kukaa muda mrefu mno kwenye madaraka na sasa unafanya kazi kwa mazoea. Nilifikiri waelewa wote wataona kwanini CCM ilipaswa kuondoka tangu jana.Tukiiondoa CCM kwa haraka kutokana na hasira tuu, aje nani kwenye nafasi yake?.
Nashauri Watanzania tutafute. Kwanza mbadala wa CCM, ndipo tuifungashe virago, bila Tanzania kuwa na mbadala wa CCM, CCM bado ipo sana!.
P
N kwamba weng wanaharakat watz n maskin so wanapgania ugali za familia zao wakipata nafas wanajtajirsha kwanza alaf baadae anakimbilia ulaya kwaiyo upzan mm naona kama kmvuli ya watu wengne kujitajirsha kwaiyo mkuu ww unatakiwa kujenga hatma ya kzaz chakoTunapokosea watanzania ni kuendelea kuruhusu CCM ibaki madarakani kwa muda mrefu zaidi. Mfumo wowote wa uongozi ukibaki madarakani muda mrefu matokeo yake ni kujisahau na kufanya mambo kwa mazoea.
Watanzania tunapaswa kuangalia alama za nyakati, ni wakati wa kuondokana na CCM kwa namna yoyote ile vinginevyo tutakuwa tumechelewa.
be specific gentleman,Tunapokosea watanzania ni kuendelea kuruhusu CCM ibaki madarakani kwa muda mrefu zaidi. Mfumo wowote wa uongozi ukibaki madarakani muda mrefu matokeo yake ni kujisahau na kufanya mambo kwa mazoea.
Watanzania tunapaswa kuangalia alama za nyakati, ni wakati wa kuondokana na CCM kwa namna yoyote ile vinginevyo tutakuwa tumechelewa.
Wana sisiem wenyewe walishaweka wazi kuwa ushindi hupatikana either kwa bao la mkono (Nape), maagizo kutoka juu (DC Longido), au kuunda serikali hata kama wapinzani wakishinda (Samia).be specific gentleman,
sema tu wazi kwamba inapaswa kukataliwa na chadema pekee, maana ushindi wa kishindo wa CCM kwenye chaguzi zote hotoke chadema 🐒
infact,
mbadala wa CCM uko ndani ya CCM yenyewe na si vinginevyo 🐒
CCM imefanya uovu wote imemaliza, mpaka imehamia kwenye kuteka na kuua.Tunapokosea watanzania ni kuendelea kuruhusu CCM ibaki madarakani kwa muda mrefu zaidi. Mfumo wowote wa uongozi ukibaki madarakani muda mrefu matokeo yake ni kujisahau na kufanya mambo kwa mazoea.
Watanzania tunapaswa kuangalia alama za nyakati, ni wakati wa kuondokana na CCM kwa namna yoyote ile vinginevyo tutakuwa tumechelewa.
relax gentleman,Wana sisiem wenyewe walishaweka wazi kuwa ushindi hupatikana either kwa bao la mkono (Nape), maagizo kutoka juu (DC Longido), au kuunda serikali hata kama wapinzani wakishinda (Samia).
Mtu aliyebaki CCM kama sio kiongozi ni kada, ndugu yake ni kiongozi, anafaidika ki-binafsi au ni zuzu. Nawe upo hapo juu.
Mbona mnawaua kama mnafikiri hawana ushawishi kwa wananchi.relax gentleman,
mambo haya n kujipanga tu my friend hakuna haja sijui mihemko, ghadhabu wala makasiriko..
Imani za kishirikina na ramli haziwezi kufua dafu mbele ya waliojizatiti kushinda uchaguzi kwa sera na mipango, walioaminika na kukubalika kukamata dola na kuunda serikali na hatimae kuongoza nchi katika kuwapatia wananchi Maendeleo...
by the way,
kwani humo ulimo ni chama cha ushirika, ni asasi ya mtu binafsi, chama cha mtu binafsi au cha chakirai ama ni chamber binafsi ya commerce?🤣
hizi ni songombingo za uchaguzi wa ndani katika chama kinachofanya uchaguzi hivi sasa,Mbona mnawaua kama mnafikiri hawana ushawishi kwa wananchi.
Tanzania bila ya vyama vya Siasa inawezekana.Tukiiondoa CCM kwa haraka kutokana na hasira tuu, aje nani kwenye nafasi yake?.
Nashauri Watanzania tutafute. Kwanza mbadala wa CCM, ndipo tuifungashe virago, bila Tanzania kuwa na mbadala wa CCM, CCM bado ipo sana!.
P
CCM mtaua wapinzani wengi sana kwa hizi habari za uchaguzi.hizi ni songombingo za uchaguzi wa ndani katika chama kinachofanya uchaguzi hivi sasa,
infact ,
songombingo hizi nadhani zinafanywa na wale ambao wanajiona kabisa hawana uhalali, Lakini pia hawana hoja, fikra mpya wala mawazo mbadala ya kueleweka kwa wajumbe ambao ndio wapiga kura..
na sasa anaanza kuwasilence wale ambao ni threat kwake kushinda uchaguzi huo wa kulazmisha...
na ndio maana,
matukio haya yamaanza mara tu chama hicho kuanza uchaguzi, na kadiri unavyoendelea huko ngazi za juu, umwagaji damu unaongezeka aiseee dah🤭
Under which grounds? Na, je, so kweli kwamba ccm imekanwa, ni dhahiri dhahiri kwamba ccm wengi tu wameikana, wamejikanaTukiiondoa CCM kwa haraka kutokana na hasira tuu, aje nani kwenye nafasi yake?.
Nashauri Watanzania tutafute. Kwanza mbadala wa CCM, ndipo tuifungashe virago, bila Tanzania kuwa na mbadala wa CCM, CCM bado ipo sana!.
P