rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kwa mazingira ya Sasa ni ngumu kupata mbadala sahihi labda Kama CCM wenyewe wangegawanyika.Tukiiondoa CCM kwa haraka kutokana na hasira tuu, aje nani kwenye nafasi yake?.
Nashauri Watanzania tutafute. Kwanza mbadala wa CCM, ndipo tuifungashe virago, bila Tanzania kuwa na mbadala wa CCM, CCM bado ipo sana!.
P
nadhani uchaguzi ndani ya chama hiki utawamaliza wanaopinga wenye chama hicho wengi sana,CCM mtaua wapinzani wengi sana kwa hizi habari za uchaguzi.
Acha fikra za kizamani .Tukiiondoa CCM kwa haraka kutokana na hasira tuu, aje nani kwenye nafasi yake?.
Nashauri Watanzania tutafute. Kwanza mbadala wa CCM, ndipo tuifungashe virago, bila Tanzania kuwa na mbadala wa CCM, CCM bado ipo sana!.
P
Msikilize mayalla, anasema hakuna mbadala wa CCM. Huyo ndio muandishi nguli.Tunapokosea watanzania ni kuendelea kuruhusu CCM ibaki madarakani kwa muda mrefu zaidi. Mfumo wowote wa uongozi ukibaki madarakani muda mrefu matokeo yake ni kujisahau na kufanya mambo kwa mazoea.
Watanzania tunapaswa kuangalia alama za nyakati, ni wakati wa kuondokana na CCM kwa namna yoyote ile vinginevyo tutakuwa tumechelewa.
Narudia Tena Mayalla, you are not serious man and not critically thinking. Mmbadala wa CCM wapo kutoka ACT, CUF, Chadema, Chauma etc etc hao wote ni mbadala wa CCM na hakuna mbadala zaid ya huo, you will wait longer till death na hutokuja kusema tunalbadala wa CCM , would you please stop that mental slavery na fear of unknown kuwa hakuna mbadala wa CCM ?Tukiiondoa CCM kwa haraka kutokana na hasira tuu, aje nani kwenye nafasi yake?.
Nashauri Watanzania tutafute. Kwanza mbadala wa CCM, ndipo tuifungashe virago, bila Tanzania kuwa na mbadala wa CCM, CCM bado ipo sana!.
P
CCM imeshakataliwa, Watu wanaojielewa wameshaikataa, wamebaki mazombi na wachumia tumbo.Tukiiondoa CCM kwa haraka kutokana na hasira tuu, aje nani kwenye nafasi yake?.
Nashauri Watanzania tutafute. Kwanza mbadala wa CCM, ndipo tuifungashe virago, bila Tanzania kuwa na mbadala wa CCM, CCM bado ipo sana!.
P
Ndio shida mfano leo tuitoe ccm madarakani tumpe nani? tatizo kubwa tulinalo hatuna hazina ya viongozi weny kutawala kwa nia ya kuwakomboa wananchi wote ni kwa hisani ya matumbo yao na hisani ya watu wa ulaya na chinaHakuna la pekee hata wewe waweza kuanzisha chama na kikafanya vizuri kuliko CCM. Unajua kinachohitajika ni kuondokana na mfumo CCM uliokwisha kukaa muda mrefu mno kwenye madaraka na sasa unafanya kazi kwa mazoea. Nilifikiri waelewa wote wataona kwanini CCM ilipaswa kuondoka tangu jana.
Imeshakakataliwa na wananchi imebaki na dola pekee
Akili za watanzania ni mgando sana.Ndio shida mfano leo tuitoe ccm madarakani tumpe nani? tatizo kubwa tulinalo hatuna hazina ya viongozi weny kutawala kwa nia ya kuwakomboa wananchi wote ni kwa hisani ya matumbo yao na hisani ya watu wa ulaya na china