Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
CCM sasa ni dhahiri, haina sera za kuwaunganisha wananchi wote.
Kwa sisi makada wa siku nyingi, Unifying Ideology kwa wanachi wote wa Tanzania, tena wa rika, jinsia au misimamo ya kisiasa yoyote, CCM lazima iwaunganishe wananchi wote.
Zamani tulikuwa na hata matembezi ya mshikamano, iliyokuwa inaendeshwa na mzee wetu Rashid Kawawa, Simba wa Vita.
Tanzania ndio mama wa mwananchi yeyote.
Hivyo basi tulipomsikia Amos Makala akitamka kuwa kuna wana CHADEMA wanataka kuwadhuru watanzania kwa minajili ya kisiasa, tulishangaa sana.
Tulishangaa kwanza kwa sababu alichotamka Makala hakiingii akilini.
Pili, CHADEMA na udogo wao ulivyo hawawezi kuwa na utaalam, au uwezo wa kukusanya vidudu hatari vya magonjwa na kuvisambaza.
Kwa hili Amos Makala amewadharau watanzania na uwezo wao wa kufikiri na kuelewa.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, mtu akikuambia kitu ambacho unajua hakina mantiki, ni uongo , na hakina maana, na wewe unajua fika kuwa kitu unachoambiwa hakina matiki ni uongo na hakina maana, basi mtu huyo amekudharau.
Ndivyo ilivyo.
Amos Makala amewadharau watanzania.
It cannot be business as usual.
Sasa Makala ataongea nini kueleza sera na Unifying Ideology ya CCM , na watu wakamwelewa?